Waziri wa Fedha na Mipango,Dk Philip Mpango akizungumza na jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Arusha leo katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa na kuwakumbusha wajibu wao kulipa kodi stahiki ili kukuza uchumi wa nchi,kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Arusha,Fadhil Nkurlu na Kamishna wa Kodi za ndani,Shogholo Mgonja.
Kamishna wa Kodi za ndani,Shogholo Mgonja akijibu hoja za wafanyabiashara mkoa wa Arusha huku Waziri wa Fedha na Mipango,Philip Mpango akifatilia kwa makini . 
Kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Longido,Ernest Kahindi,Mkuu wa wilaya ya Monduli,Francis Miti na Mkuu wa wilaya ya Karatu,Omary Kwaang' wakifatilia miongoni mwa maafisa wa serikali waliohudhuria mkutano.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii mipango ni safi sana. Wafanya kazi wakilipa kodi wajue watafaidika hata wao. Wananchi wengi zaidi watapata huduma na uwezo wa kifedha utaongezeka na watanunua vitu zaidi. Maendeleo yakipatikana hata sekta ya biashara itaimarika. Tunawasihi ninyi wafanya biashara mlipe kodi kwa maendeleo ya nchi.

    ReplyDelete
  2. Kodi zinazokusanywa pia zitumike zinavyostahili ili wananchi wapate huduma za kijamii.

    Pai Naomba serikali iweke policy na sio "kuomba" tu wafanyabiashara kulipa bali iwe wajibu wao kwa mujibu wa sheria. Pia hatua kali zichukuliwe kwa wanaokiuka kulipa kodi iwe mfnayabiasha au mwananchi wa kawaida.

    Hatuwezi kujilinganisha na nchi kama Marekani ila huko Marekani huwezi kuwa Raisi kama hujawahi kulipa kodi. Jambo la kwanza kufnaya kabla hujaamua kugombea ni kuangalia kumbukumbu ya malipo yako yote ya kodi.

    Tuweke utaratibu huu ili iwe utaratibu na sio "ombi" kulipa kodi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...