Naomba uwajulishe wasomaji wa blog yako uwepo wa mnada wa magari kutoka ubalozi wa Marekani jumamosi ya wiki hili 30.04.2016
Mali zote zinaweza kukaguliwa kesho.
Mnada utafanyika siku ya Jumamosi ya wiki hili tarehe 30.04.2016 kuanzia saa 4 asubuhi.
Mahali: Golden Resort, Lion Street, Sinza ( Jirani kabisa na Lion Hotel)
Asante na mungu akubariki.
Regards,
Kelvin Manaseh
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...