![]() |
Kasri la Westminster |
Daraja la London na Daraja la Mnara ambalo mara nyingi watu wengi duniani wamekuwa wakidhania ni kitu kimoja.
London ni mji mkuu wa Uingereza na mji mkubwa wa nchi hii m90 wakazi milioni 7.5. Kwenye rundiko la mji idadi ya watu ni karibu milioni 1.4. Jiji la London ndilo linalopokea watalii wengi zaidi ulimwenguni. Uwanja wa ndege wa Heathrow unapokea wasafiri wengi zaidi kushinda mahali popote duniani.
1. Kasri la Bunge la Jiji Hilo Ndilo Jumba Kubwa Kabisa Nchini Uingereza Likiitwa Westminster.
2. The Palace of Westminster lina jumla ya baa nane (kwa bei ya dezo), hoteli sita na vyumba 1,000, kumbi 11 na pia kuna saluni ya kike na kiume.
3. Ni marufuku KUFA ukiwa kwenye Palace of Westminster.
4. Kuna eneo maalumu kwa 'kuku wa kienyeji' wakimaanisha eneo lililohalalishwa kwa ajili ya machangudoa kujiuza.
5. Hadi mwaka 1994 hakukua na barabara yoyote kwenye Jiji hili na hata sasa kuna barabara moja tu Goswel Road ingawa kuna vichochoro vingi sana vya waendao kwa miguu na njia za umma hazikuitwa barabara hadi mnamo karne ya 16.
6. Arsenal ndiyo timu pekee katika Jiji hili yenye stendi ya treni za kasi inayoitwa Arsenal iliyopewa jina hilo mwaka 1932 baada ya Arsenal kuhama toka Woolwichhadi Kaskazini ya London.
8. Jiji la London ndilo linalopokea watalii wengi zaidi ulimwenguni. Uwanja wa ndege wa Heathrow unapokea wasafiri wengi zaidi kushinda mahali popote duniani
9. Kivutio kikubwa cha watalii ni Mnara wa Madaraja (pichani juu chini ndio jumba la Westminster)
10. London mtu anayeheshimiwa zaidi ni Queen Elizabeth na Wayne Rooney
11. Kuna mitaa huruhusiwii kumsalimia mtu yoyote hata unayemjua ni unapita kimya kimya
12. Mkienda mahali na marafiki kunywa hairuhusiwi mtu mmoja kulipia Bill yote yaan Bill ikija ile pesa ni lazima igawanywe kwa jumla ya namba ya wote kila mtu alipe sawa hata kama wewe ulikunywa maji mwenzako akanywa wine!
Compiled and translated by Geofrey Chambua
Compiled and translated by Geofrey Chambua
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...