Meneja wa Data wa Benki ya Stanbic Tanzania,
Ally Masoud (wa tatu kushoto), akimkabidhi Muasisi na Mkurugenzi
Mtendaji wa Kituo
cha Watoto Wetu Tanzania, Evans Tegete mfano wa hundi ya thamani ya Sh.
Milioni 20, ikiwa ni muendelezo wa benki hiyo kusaidia ujenzi wa
madarasa kwenye kituo hicho kilichopo kijiji cha Mazizi kata ya Msata
mkoani Pwani hivi karibuni. Benki ya Stanbic imekuwa
ikisaidia kituo hicho kuhakikisha watoto wenye mahitaji maalumu
wanapata elimu bora. Wengine ni wafanyakazi wa benki ya Stanbic pamoja
na wafanyakazi na watoto wa kituo hicho.
Home
HABARI
JAMII
Benki ya Stanbic yatoa msaada wa TZS 20 mill kusaidia ujenzi wa darasa kituo cha watoto wetu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...