RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulifungua Jengo la Hospitali ya Maradhi ya Akili Kidongochekundu Jijini Zanzibar akiwa nan a Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Wafadhili wa Mradi huo Bw. Trond Mohn na Mkewe. Mradi huo umefadhiliwa kupitia Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland Nchini Norway na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo la Watoto la Maradhi ya Akili katika Hospitali ya Kidogochekundi Zanzibar baada ya Kuyazindua leo 18-11-2021.yaliojengwa kwa Ufadhili kupitia Chuo Kikuu cha Haukeland Norway na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...