RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran Mhe.Hossein Amir Abdollahian (wa tatu kushoto) alipofika na Ujumbe wake Ikulu Jijini Zanzibar akiwa ziarani Nchini.



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran Mhe.Hossein Amir Abdollahian baada ya mazungumzo yao leo alipofika na Ujumbe wake Ikulu Jijini Zanzibar akiwa ziarani Nchini.



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran Mhe.Hossein Amir Abdollahian (kushoto) baada ya mazungumzo yao leo alipofika na Ujumbe wake Ikulu Jijini Zanzibar akiwa ziarani Nchini.[Picha na Ikulu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...