
USIKU wa Ulaya huu hapa umefika huku wakali wa ubashiri Tanzania wao wamekuja na habari njema kabisa za wewe kuondoka na utajiri wako. Suka jamvi lako la ushindi na wakali hawa wa ubashiri sasa.
Tukianza na mtanange wa Bayern Munich yeye atakipiga dhidi ya Sporting CP ambapo mpaka sasa kwenye mechi 8 ambazo amecheza amekusanya pointi 10 huku vijana wa Kompany wao wakichukua pointi 12. Mwenyeji ametoka kupoteza huku mgeni yeye akishinda. ODDS KUBWA zipo mechi hii leo. Tandika jamvi lako hapa.
Pia naye AS Monaco atakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Galatasaray ambao walipoteza mechi yao iliyopita wakiwa nyumbani. Mwenyeji yeye alitoa sare, hivyo pointi 3 ni muhimu kwa timu zote siku ya leo. Je nani unampa nafasi ya kuondoka na pointi 3 siku ya elo?. Bashiri hapa.
Kwa upande wa Chelsea wao watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Atalanta baada ya mechi iliyopita kushinda, halikadhalika kwa wenyeji nao walishinda. Wote wana pointi sawa yaani 10 huku ODDS za mechi hii pale Meridianbet zikiwa ni kubwa kabisa. Je nani kuibuka mbabe siku ya leo?. Jisajili hapa leo.
Pesa ipo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni, Cheza Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Vijana wa Hans Flick, FC Barcelona watakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Eintracht Frankfurt ambao wana pointi 4 pekee hadi sasa huku Wacatalunya wao wakiwa na pointi 7. Barca wanahitaji ushindi kwa namna yoyote ile ili wajiweke kwenye nafasi nzuri ya michuano hii. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Suka jamvi leo.
Kule Italia kutakuwa na mechi ya kukata Inter Milan vs Liverpool ambao hivi karibuni wamekuwa na matokeo ambayo hayaridhishi kabisa kwani kwenye mechi 13 amabzo amecheza ameshinda 3 pekee. Mara nyingi hawa wawili kukutana ilikuwa kwenye fainali na Jogoo wa Anfield alipoteza. Bashiri hapa.
Vijana wa Diego Simeone, Atletico Madrid watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya PSV kutoka kule Uholanzi lakini pia imeweza kupata matokeo dhidi ya timu kubwa kwenye michuano hii. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Je beti yako unaiweka kwa nani?. Jisajili hapa.
Tottenham Spurs atakuwa kibaruani kukipiga dhidi ya Slavia Prague ambao kwenye mechi 5 wameambulia pointi 3 pekee. Huku wenyeji wao wakiwa na pointi 8 hadi sasa. Kupitia mechi hii unaweza ukatajirika kirahisi sana na Meridianbet leo. Beti hapa.
Marseille yeye atakuwa kibaruani kumenyana vikali dhidi ya Union St.Gilloise ambao wanahitaji ushindi siku ya leo ili wasogee mbele kwenye michuano hii. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni hakuna kwani wote wana pointi sawa. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...