
JE, unajua kadri ambavyo unatumia Meridianbet zaidi kwenye kufanya ubashiri wa mechi zako ndipo unajiweka kwenye nafasi ya kuondoka na bonasi kubwa ya sport au kasino?. Bashiri mara nyingi sasa na Meridianbet uibuke bingwa.
Ligi pendwa Duniani, EPL itaendelea ambapo AFC Bournemouth atakuwa kibaruani kumenyana dhidi ya Everton ambapo timu hizi tofauti ya pointi kati yao mpaka sasa ni moja pekee. Msimu uliopita walipokutana, The Toffees walipoteza mechi zote mbili kwenye ligi. Je wanaweza kulipa kisasi leo?. Meridianbet wanakwambia kuwa bashiri mechi hii sasa.
Vijana wa Pep Guardiola Manchester City watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Fulham ambao kwenye mechi 12 hadi sasa wameambulia pointi 14, huku City wao wakiwa na pointi 22. City wanaingia uwanjani wakihitaji ushindi huu kwa hali na mali ili waweze kushindani taji la Ligi kuu msimu huu. ODDS KUBWA zipo hapa.
Newcastle United atakuwa uso kwa uso dhidi ya Tottenham Hot Spurs ambao wanataka kulipa kisasi baada ya kupigika mechi zao zote mbili msimu uliopita. Eddie Howe na vijana wake msimu huu umekuwa sio mzuri kwao kwani mpaka sasa wana pointi 15 na nafasi waliyopo haishawishi kabisa. Jisajili na ubeti hapa.
Mkwanja upo leo kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Copa del Rey kule Hispania itaendelea pia Osasuna atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Ebro ambao wanakipiga kule Segunda na wapo nafasi ya 13. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa mgeni kule Meridianbet. Wewe beti yako unaiweka kwa nani?. Tandika jamvi hapa.
Numancia nao watawaleta kwao Mallorca ambao wao wanakipiga Ligi kuu Hispania huku wenyeji wao wanakipiga Segunda kule daraja la kwanza. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet. Je unangoja nini kubashiri mechi hii?.
Siku ya leo kutakuwa na mchezo mmoja mkali wa LALIGA kati ya FC Barcelona vs Atletico Madrid ambapo mara ya mwisho kukutana hawa wawili vijana wa Hans Flick waliondoka na ushindi. Je Diego Simeone na vijana wake kulipa kisasi ugenini?. Tengeneza jamvi hapa.
DFB POKAL Ujerumani nako kutakuwa na mechi za kukata na shoka kabisa kati ya Borussia M’gladbach dhidi ya ST. Pauli ambapo kwenye ligi mara ya mwisho wlaipokutana, mwenyeji alishinda. Je leo hii nani anaondoka na ushindi na kusonga hatua ya Robo Fainali?. Bashiri hapa.
Kwa upande wa Borussia Dortmund yeye atamenyana dhidi ya Bayer Leverkusen ambapo hawa wawili kwenye ligi kuu kule wamepishana pointi moja pekee. Msimu uliopita walipokutana kwenye ligi, kila mtu alishinda kwa mwezake lakini leo ni ukipigwa unaaga mashindano. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Beti hapa.
Pia naye RB Leizpig atakuwa mwenyeji wa Magdeburg ambao wanacheza Bundesliga 2. Kila timu inahitaji ushindi kusonga hatua ya Robo Fainali. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii pale Meridianbet. Je pesa yako unaiweka kwa nani akupe maokoto zaidi?. Jisajili hapa.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...