Meneja wa Ofisi ya Kanda ya Kaskazini, Eliamini Mkenga, akiongea wakatiakifungua mafunzo ya usimamizi salama wa kemikali kwa wasimamizi wakemikali kutoka kampuni ya Gasco na wadau wengine wa Arusha katikamafunzo yanayofanyika katika hoteli ya Corridor Spring, jijini Arusha, Desemba 2, 2025.
Msimamizi wa Dawati la Huduma za Udhibiti, Ofisi ya Kanda ya Kaskazini, Joshua Mustafa (picha ya juu), akiongea kabla ya kumkaribisha Meneja waKanda, Eliamini Mkenga (hayupo pichani) kufungua mafunzo ya usimamizi salama wa kemikali kwa wasimamizi wa kemikali kutoka kampuni ya Gascona wadau wengine wa Arusha katika mafunzo yanayofanyika katika hoteliya Corridor Spring, jijini Arusha, Desemba 2, 2025.
Wasimamizi wa kemikali wakiwasikiliza wawezeshaji kwenye Mafunzo yausimamizi salama wa kemikali kwa wadau wa Ofisi ya Kanda ya Kaskaziniyanayofanyika kwenye hoteli ya Corridor Spring, jijini Arusha, Desemba 2, 2025.
Mwezeshaji wa mafunzo kutoka Ofisi ya Kanda ya Kaskazini, Emanuel Lewanga (picha ya juu), akiwasilisha mada kuhusu majukumu ya Mamlakakwenye mafunzo ya usimamizi salama wa kemikali kwa wasimamizi wakemikali kutoka kampuni ya Gasco na wadau wengine wa Arusha katikamafunzo yanayofanyika katika hoteli ya Corridor Spring, jijini Arusha, Desemba 2, 2025.
Msimamizi wa Huduma za Maabara, Ofisi ya Kanda ya Kaskazini, ErastoLaurance (aliyesimama), akiwasilisha mada kuhusu Sheria ya Usimamizi naUdhibiti wa Kemikali na maboresho yake ya mwaka 2023 kwa wasimamiziwa kemikali kutoka kampuni ya Gasco na wadau wengine wa Arusha katikamafunzo yanayofanyika katika hoteli ya Corridor Spring, jijini Arusha, Desemba 2, 2025.
Meneja wa Ofisi ya Kanda ya Kaskazini, Eliamini Mkenga (aliyesimamakatikati, akiwa pamoja na wawezeshaji na washiriki wa mafunzo yausimamizi salama wa kemikali mara baada ya kufungua mafunzo hayoyanayofanyika katika hoteli ya Corridor Spring, jijini Arusha, Desemba 2, 2025.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...