SUMAKU kutumika kupunguza Maumivu

SUMAKU kutumika kupunguza Maumivu

Related image

Sikuzote unapotafuta matibabu unatumia tembe au vidonge kutibu maumivu hiyo ni njia ambayo inatumika kote ulimwenguni, lakini wataalamu wa teknologia

China yaaza kufua umeme kutoka kwenye mwili wa binadamu
Vijana 7 wapandishwa Kizimbani kwa kuharibu fedha
Shule nne zafutiwa matokeo ya Mtihani wa Darasa 7

Sikuzote unapotafuta matibabu unatumia tembe au vidonge kutibu maumivu hiyo ni njia ambayo inatumika kote ulimwenguni, lakini wataalamu wa teknologia wamegundua njia mpya ya kukabiliana na maumivu bila vidonge.

Moja ya njia izo ni kwa kutumia sumaku ambayo itakuwa mbadala wa vidonge ambavyo taarifa za kitaalamu zianaonyesha vidonge vya maumuvu vina madhara makubwa kwa afya ya binadamu.

Kuna madhara yatokanayo na matumizi ya dawa za kutuliza maumivu ambambo utalazimika kutumia mara kwa mara na kuongeza madhara makubwa zaidi, anasema

Profesa DINO DIE CARLO

Wataalamu awo wanasema wanatumia kipande kidogo cha sumaku ambacho kitaingilana na protini ya mwili ili kutuliza maumivu, vipande ivi vya sumaku uhenda vimeingizwa kwenye ute ambao kwa asili upo kwenye ubongo na kwenye uti wa mgongo.

Kama una kidonda alafu unachukuwa ute uwo ambawo umewekwa kwenye vipande vya sumaku na vipande vya Iron oxide ili kuweka kwenye kidonda ili kipone, pia unaweza kuweka sumaku kwenye sehemu maalumu alafu ukahiweka juu ya kidonda, 

Profesa DINO DIE CARLO

Haya ni moja ya mafanikio makubwa sana kwenye ulimwengu wa teknologia hasa sekta ya afya, Japo washauri wa maswala ya afya wana wasiwasi kama njia hii mpya haina madhara hapo mbeleni.

WEKA KOMENTI YAKO HAPO CHINI JUU YA TEKNOLOJIA HII.

SimBanking01

COMMENTS

WORDPRESS: 0
DISQUS: 0