School bus zinazojiendesha zapigwa marufuku USA

School bus zinazojiendesha zapigwa marufuku USA

Related image

Mamlaka ya Usalama barabarani nchini marekani (NHTSA) umezuia mradi wa basi ya shule yanayojiendesha yenyewe huko Florida, ukiita mradi huo "batili."

Facebook: Zaidi ya Akaunti milion 29 taarifa zake binafsi zimeibwa
SUMAKU kutumika kupunguza Maumivu
Lusotho wajifunza Tehama nchini- TaGLA

Mamlaka ya Usalama barabarani nchini marekani (NHTSA) umezuia mradi wa basi ya shule yanayojiendesha yenyewe huko Florida, ukiita mradi huo “batili.” Ni mojawapo ya hatua zilizochukuliwa na Idara ya Usafiri katika siku za karibuni za magari yanayo jiendesha yenyewe.

Uko marekani ya Kaskazini  kampuni ya kimataifa ya usafirishaji ya Transdev ilikuwa inatumia Mabasi hayo kusafirisha watoto kutoka sehemu mbalimbali kwenda shuleni na kuwarudisha majumbani kwao, basi moja lina uwezo wa kubeba watoto zaidi ya 12 kwa wakati mmoja.

SimBanking01

COMMENTS

WORDPRESS: 0
DISQUS: 0