China yaaza kufua umeme kutoka kwenye mwili wa binadamu

China yaaza kufua umeme kutoka kwenye mwili wa binadamu

Related image

Wanasayansi nchini China wametengeneza kifaa ambacho kinaweza kuzalisha umeme kwa kutumia mwili wa binadamu, watu wengi wamezoe njia kadhaa za za kuz

Shule nne zafutiwa matokeo ya Mtihani wa Darasa 7
SUMAKU kutumika kupunguza Maumivu
Facebook: Zaidi ya Akaunti milion 29 taarifa zake binafsi zimeibwa

Wanasayansi nchini China wametengeneza kifaa ambacho kinaweza kuzalisha umeme kwa kutumia mwili wa binadamu, watu wengi wamezoe njia kadhaa za za kuzalisha nishati ya umeme kwa kutumia mfano Maji, Jua, Upepo, Gesi laini hii ya ni mpya kutoka China.

Kwa mujibu ya habari kutoka shirika la habari la Chına Xinhua, Wanasayansi kutoka chuo kikuu cha Cıngcou eneo la Henan mji wa Cıngcou wametengeneza kıfaa ambacho kitatumika kuchaji simu na vifaa vingine vinavyoendana, kifaa  kina uwezo wa kubadilisha nishati inayopatikana kwenye mwili wa binadamu akiwa kwenye mwendo kuwa nishati ya umeme ( nanogenerator).

Tatızo la sımu ambazo selı zake huisha nguvu mara kwa mara sasa limepata suluhisho imefahamisha habari hio. Kifaa hichi ambacho hakiingii maji kinaweza kuvaliwa na kufuliwa bila kumuuzi mtumiaji.

Utafiti huu ulichapishwa kwenye jarida la Kemia A.

SimBanking01

COMMENTS

WORDPRESS: 0
DISQUS: 0