Home
Unlabelled
nkurunzinza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Katika nchi ningi ulimwenguni bendera ya nchi uheshimiwa hapa naona bedera yetu inafutiwa miguu.Katika nchi nyingi duniani kama protest wapinzani mfano wa palestina kupinga sera za Israel ufutia miguu bendera au kuzichoma moto.Naomba serikali ilitizame swala hili janvi jekundu linatosha.
ReplyDeleteJaphari Shabani
Nakuunga mkono Mr Japhari whoever mpambaji apewe warning that's a shame
ReplyDeleteBendera hiyo ni symbol ya taifa. Symbol hii inatekenya psyche za wazalendo. Hivyo, Mchuzi, kwa niaba ya wana-blog, peleka hoja hii mbele ya wahusika!
ReplyDeletePili, Rais Nkurunzinza (Burundi), Rais Kagame (Rwanda), Waziri Mkuu Meles Zenawi (Ethiopia), Rais M-7 Museveni (Uganda) wote hawa wamekuwa walokoke wa ki-Kristo born again) baada ya kumwaga damu!
Bw.Jafari Shaaban na Annoy hapo juu,wazo lenu ni jema TUANZIE BUNGENI wametandika bendera na mbunge mmojawapo altoa hoja j=hiyo hapo bungeni lakini Mh.Spika Wa Speed and Standard hizo ndio standard kwake KUKANYAGA BENDERA YA TAIFA tuache tu ndugu yangu, ikija awamu ya (5)wataliona kama awamu ya nnne ilivyoona la MIKATABA na nyumba pamoja na kwamba JK alikuwa kwenye baraza la awamu ya tatu nayeye kajipatia kanyumba na KUKAPIGA FENCE YA NGUVU inayotosha nyumba kadhaa za polisi wetu.
ReplyDeleteHalo dad mbona unamuacha sana vice wako?ingekuwa eddy hapo ungekuta bega kwa bega,kaa nae close sio mpaka watu washtukie anabebwa
ReplyDeleteHuyu rais wetu anaonyesha mzaha, maana kasi anayosema ni mpya hizi ni nyimbo. Mimi nataka kumshauri tu kuwa asipokuwa mkali kama Faru na kuondoa mizaha tutamweka kwenye kundi la wale wale. Huu sio muda wakuchekea watu, anatakiwa awe mbogo na kuwajenga hofu watendaji wakuu iliwatekeleze majukumu yao. Aliyempisha kwenye kiti alianza kwaki-shindo lakini akaanza kulegeza miguu wajanja wakamwingiza kwenye tamaa ya mali mwishowe ametuweka mahali ambapo tunajutia na hatutasahau. Hivi hivi huyu watamzoea na wamesha mzoea maana wamesha mwona ni yule yule hana lolote. Wajibisha watendaji. Ondo woga wananchi ndio ngao yako na sio viongozi au mashushu. Wananchi wamekupa value kubwa sana ambayo huwezi kuitafsiri. Okoa Tanzania na ibadili Tanzania. Wewe ndio Alpa na Omega kwa Tanzania. Kamwe Tanzania haitabadilika katika kipindi chako kama wewe utaonyesha uzembe maana wewe ndio engine. Achana na uozo na ujinga wakumhamisha mtu huyu kwenye wizara ile maana kaharibu hapa, unatupoteza na kutuvunja moyo. Achana na ujinga wakuwa lundikia watu wachache tena wajinga majukumu ambayo hawa-yawezi mwishoni ni kuharibu. Tumia vijana wenye elimu nzuri zaidi kwenye sehemu nyeti za uwajibikaji, Achana na hao waliokwisha kujilimbikizia mali.
ReplyDeleteNina imani haya yaatakufikia.
Tukubaliane sote kuwa wapangaji hapa wWAMECHEMSHA na ikibidi wajieleze, hii si bendera yao wala ya ikulu ni bendera yetu (Taifa), Siku zote huwa tunasema tunapeperusha bendera ya Taifa na kila mtu anakubali hii. Katika vita ili uwe umeshinda unatakiwa upeperushe bendera juu, wao wanaiweka chini halafu wanaikanyaga Hapa wakubali tu kuwa wamekosea na watowe "statement" kwa taifa kuwa wamekosea.
ReplyDelete