banza stoni (kati) yuko fiti na anaendelea kuongoza jahazi la chipolopolo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. hongera sana Banza ,Mungu akuzidishie maisha marefu tulikuombea sana watanzania wakati u mgonjwa na maombi yetu yamesikika. nakutakia afya njema ila tu uache kuvuta sigara jamani we uliumwa TB sasa sigara na TB wapi na wapi?EBO

    ReplyDelete
  2. hongera sana Banza ,Mungu akuzidishie maisha marefu tulikuombea sana watanzania wakati u mgonjwa na maombi yetu yamesikika. nakutakia afya njema ila tu uache kuvuta sigara jamani we uliumwa TB sasa sigara na TB wapi na wapi?EBO

    ReplyDelete
  3. acha kuvuta sigara wewe BANZA utajiua bure kijana.....mbona hujihurumiii.

    ReplyDelete
  4. Jana nilikuwa ktk bonanza la Twanga pale leaderz club.Upinzani ni mkubwa sana kati ya Twanga pepeta na Twanga chipolopolo, huu upinzani unasaidia kukuza ubora wa nyimbo zao, lakini hawa jamaa wanakoelekea inaweza kuwa balaa maana Diouf alikuwa ana lalamika kwamba jamaa wa Twanga pepeta wiki iliyopita walimtangazia kwamba yeye si Mtanzania bali ni mkenya, basi wiki hii alikuwa anawapaka sana jamaa lakini hakutaja jina

    ReplyDelete
  5. Amepata nafuu..manake nasikia ameshayakanyaga mawaya

    ReplyDelete
  6. jamani banza namkubali hapa kweli anakipaji.... endelea baba....kamua...
    hivi jamani kuna yule profeshenali kibodi wa Twanga wa sumbawanga nadhani anaitwa mkambi yu wapi maana sijamsikia twanga.....YUPO??? Banza waambie bwna hujafa hujaumbika

    ReplyDelete
  7. Mr. Chuzi's tunaomba picha pia za wazee wa pamba,wazee wa kiwango(TBS)FM ACADEMIA.

    ReplyDelete
  8. yeah, yuko fit kwa muda tu!!

    ReplyDelete
  9. Napenda sana kiswahili maana kwa maneno mafupi tu ujumbe wote unafika. Kama hapa ni kweli hujafa hujaumbika.Dunia ni mvingo, .....nk

    Banza acha sigara, fatilia matibabu, umekanyaga mawaya au la halitishi hilo siku hizi ili mradi uhudumiwe inavyo stahili. Maisha ni mstari kila mtu anawake!

    Nachukia watu wanafurahia maafa ya wengine. Anon hapo juu eti "yuko fit kwa muda tu" yes huo muda si wewe uta upanga ni Mungu!

    You could as well go first who are U shiiiiiiiiit!!

    ReplyDelete
  10. Banza bado bwana, msimfagilie yuko fiti, sasa ndio kakazana kweli kubwia miunga yake, ila pombe kajitahidi kaacha. Jamani sijui hata atokee nani amwambie,labda malaika, tena afya yake sasa inavutia lakini jamaa unga naona haachi. Haya sasa hizo dozi zitafanya kazi sawasawa kweli. mi inaniuma sana lakini shauri yake

    ReplyDelete
  11. Nyie mnakazania sigara sigara...njooeni mitaa ya Mwenge anapush unga huyo kama hana akili nzuri na kicorolla chake. Yaani unga live live halafu anayewakingia kifua wauzaji ni Mwanajeshi tena wa kike. usiulize zaidi na polisi wanajua soo tupo bondo tz

    ReplyDelete
  12. "Tunamtaka Banzaa, atuimbie, tunamtaka Banzaa tucheze nae"

    INYATAAD: Mzee wa Euro, good to see u again.

    ReplyDelete
  13. jamani ndugu zangu kama mnawajua hao pushers wa mwenge mkawaripoti central,leo anayebwia ni banza kesho atakuwa mwanao,dadako,kakako,etc,inauma sana tushirikiane tuondoe adha hii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...