mwenyekiti wa klabu ya simba hassan dalali (shoto) na makamu mwenyekiti na mchezaji wa zamani wa timu hiyo omar gumbo wakiwa na kocha mpya mbrazili nielsen elias kwenye mazoezi jana uwanja wa kinesi urafiki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi lugha gani inatumika hapo kwenye benchi blazaangu ?JK

    ReplyDelete
  2. Simba kweli wachovu! Hata uwanja hamna da hii noma! Siamini timu yenye miaka zaidi ya sabini kukosa hata uwanja wa mazoezi. Hebu acheni kulumbana Simba, kaeni chini mfanye mambo ya meendeleo. Tafuteni kiwanja kikubwa nje kidogo ya mji mjenge Klabu na uwanja pia. Mtakaa kuhama hama mpaka lini!?????

    ReplyDelete
  3. Kizaramo bro...

    ReplyDelete
  4. Lugha anayotumika hapo kwenye benchi ni kisambaa mtu wangu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...