kocha mpya wa simba mbrazili nielsen elias akiwa na kocha msaidizi bendera uwanja wa kinesi urafiki jana alipotembelea mazoezi ya timu kwa mara ya kwanza toka atue bongo ijumaa ilopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. jamani yaani uwanja hata majani hauna na huyo kocha ataweza kufundisha kwenye uwanja mbovu namna hiyo?

    ReplyDelete
  2. Nyuma naona watu wameketi chini ina maana hata mabenchi hakuna?sasa huu uwanja gani?Huyu kocha ingekuwa hata mimi I can`t waste ma time there.Atkuja kupata kifua kikuu bure na hilo vumbi.

    ReplyDelete
  3. ndo hivyo..yaani simba na yanga ni kama vilabu vya pombe za kienyeji..hakuna jipya..soccer ulaya si bongo..si unacheki yanga amekula 2 kwa yai..walikuwa wanachonga haooo

    ReplyDelete
  4. wasifu wa huyu blaza kutokana na vyanzo mbalimbali ndani ya mtandao ni kocha wa magolikipa..sasa sioni hao simba wanachojivunia ni nini..labda sana sana atakaefaidika ni kaseja..poleni mazee

    ReplyDelete
  5. Yaani anony karibia wote hapo juu mwasema ukweli, inasikitisha sana kuona kwamba hizi klabu kubwa mbili mpaka sasa hivi hazijapiga maendelea yeyote ya maana labda kwenye sekta ya MAJUNGU NA USHIRIKINA. Wote Simba na Yanga wana makocha wazuri hivi sasa lakini hautasikia mafanikio yeyote ya maana. Kuna imani fulani potofu ambazo inabidi jumuiya ya wanamichezo waziangamize kama kweli wanataka Soccer iendelee Tanzania. Hata umlete Sir Alex Ferguson, Jose Mourinho, Arsene Wenger, Raphael BEnitez au hata Frank Rijkaard, soka la Tanzania halita kua kama miundombinu (infrastructure) haitabadilika kama viwanja vya mazoezi. Pia wanachama kujiamulia kila wanapotaka mabadiliko ya uongozi kwenye Klabu, viongozi kuwa na list ya wachezaji wao, kukuza nidhamu ya mpira kwa vijana wakiwa bado wadogo, kupata lishe muafaka, na pia kutokuwepo na viongozi wababaishaji kama akina KADUGUDA wa Simba. Tabia za wanachama kuonyesha kwamba wanaijua sana timu kwani babu yake alikuwa mwanachama wa tano kujiunga na Simba au Yanga pia ziishe kwani ndio wenye majungu na washirikina wakubwa wanaoona bila kuroga, basi mpira hauchezeki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...