banana zorro alipokuwa mwanza. chini kuna ujumbe mdau katujaalia
I got this email from a friend and I thought it is worthy sharing; mwisho wa hii email kuna links mbili, moja ina video clip na ingine ni maelezo, it is worthy going through.

Let's take it serious,
Wishing you all the best.

Tuwe makini wakati wa kununua dawa.Kwa Afrika mashariki watengenezaji wakuu wa ASPRIN ni hatari sana kwa maisha yetu. kwa maelezo zaidi angalia link hizo hapo chini.

The company name that made this product is BAYER one of its products in the East Africa is the famous ASPIRIN , be aware when you buy drugs , ask where it 's manufactured and who is the supplier and if there are any local alternative Please... this is urgent send it to all you know its not a joke… please send it to all people even to those ones you don't like, it's very serious


link1: http://en.wikipedia.org/wiki/Contaminated_haemophilia_blood_products
link2 video: http://www.youtube.com/watch?v=XS3mhjt7TrY

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. asante kwa ujumbe.hata hivyo habari hii iko tentative sana.kutokana na utaratibu uliopo wa kuregister drugs maelezo yaliyopo hayako comprehensive juu ya jinsi dawa hizo zilivyoingizwa ndani ya EEC.habari kama hizi mara nyingi huchanganya jamii na kuwafanya wanajamii wajisikie hawana msaada.ni vyema iwapo ujumbe huu hautaendelea kusambazwa.angalia kwenye link hii kwa taarifa zaidi juu ya international drug registration http://jcp.sagepub.com/cgi/reprint/27/4/253.pdf?ck=nck

    ReplyDelete
  2. DOGO BANANA UNATISHA "KEEP IT UP" UNAWATOA SANA VIJANA WENZIO WA PALE TEMEKE SABASABA- KWA WACHINA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...