
banana zorro alipokuwa mwanza. chini kuna ujumbe mdau katujaalia
I got this email from a friend and I thought it is worthy sharing; mwisho wa hii email kuna links mbili, moja ina video clip na ingine ni maelezo, it is worthy going through.
Let's take it serious,
Let's take it serious,
Wishing you all the best.
Tuwe makini wakati wa kununua dawa.Kwa Afrika mashariki watengenezaji wakuu wa ASPRIN ni hatari sana kwa maisha yetu. kwa maelezo zaidi angalia link hizo hapo chini.
The company name that made this product is BAYER one of its products in the East Africa is the famous ASPIRIN , be aware when you buy drugs , ask where it 's manufactured and who is the supplier and if there are any local alternative Please... this is urgent send it to all you know its not a joke… please send it to all people even to those ones you don't like, it's very serious
link1: http://en.wikipedia.org/wiki/Contaminated_haemophilia_blood_products
link2 video: http://www.youtube.com/watch?v=XS3mhjt7TrY


asante kwa ujumbe.hata hivyo habari hii iko tentative sana.kutokana na utaratibu uliopo wa kuregister drugs maelezo yaliyopo hayako comprehensive juu ya jinsi dawa hizo zilivyoingizwa ndani ya EEC.habari kama hizi mara nyingi huchanganya jamii na kuwafanya wanajamii wajisikie hawana msaada.ni vyema iwapo ujumbe huu hautaendelea kusambazwa.angalia kwenye link hii kwa taarifa zaidi juu ya international drug registration http://jcp.sagepub.com/cgi/reprint/27/4/253.pdf?ck=nck
ReplyDeleteDOGO BANANA UNATISHA "KEEP IT UP" UNAWATOA SANA VIJANA WENZIO WA PALE TEMEKE SABASABA- KWA WACHINA
ReplyDelete