uwanja wetu wa neshno stedium umefungwa kwa muda ili kutandikwa nyasi bandia kuupa hadhi ya kimataifa. kazi hiyo imenza rasmi jana na kampuni ya ekika building and civil engineering na hao ndo wakurugenzi wake wakiukagua

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Huu uwanja kwa kweli ni mzuri sana. Wasiwasi wangu ni kwamba unaweza uka-fall into disrepair kwa kasi isyokuwa ya kawaida pindi tutapokabidhiwa. Hivyo basi, nikiwa raia mwema, ningeomba sana nitoe mapendekezo yangu kuhusu namna tunaweza kuchelewesha huwo uchakavu walau kidogo;

    1. Uwanja usitumike kufanyia magwaride. Haya yaendelee kwenye uwanja wa zamani au tutafute sehemu nyingine

    2. Tuajiri wataalam kama watatu kutoka nje waje wakausimamie huu uwanja. Tuajiri watu, na siyo makampuni (k.m Net Group) na hawa watu wawe wanaripoti kwa Board of directors. Hawa wataalamu wapatikane kwa international vacancy advert na walipwe mishahara mizuri. Ningependa sana kama usahili ungeyahusisha makampuni yanayofanya Executive Appointments.

    3. Tujaribu kuleta michezo mingi sana ya kimataifa Dar. Tugombee ku-host CAF kwa mfano. Michezo hii huingiza pesa nyingi sana kupitia uuzaji wa TV rights. Pesa hii kitawezesha uwanja kujiendesha.

    4. Tuilete ile timu ya Real Madrid wafanye ufunguzi kwani hilo advertise litakuwa ni muafaka kabisa. Huwezi kupata pesa bila kutoa pesa.

    ReplyDelete
  2. UWANJA BOMBA SASA TUACHE MIGOGORO NDANI YA VILABU NA FAT TUPIGE MPIRA SIO MAJUNGU OOOH!FULANI HACHEZEI YANGA AU SIMBA MPAKA BABAKE AFANYAJE SIJUI, HUO NI UZAMA WA KALE.

    ReplyDelete
  3. Vitambi ni ugonjwa jamani ...amkeni

    ReplyDelete
  4. Michuzi hebu tuwaelimishe Watanyania wenzetu,tusiwe tunadanganywa na vitu ambavyo kwa sasa havipo na havikubaliki duniani.Nyasi bandia katika viwanja zilikwishapigwa marufuku na FIFA yapata miaka kumi na mitano sasa,kwa hiyo kuandika kwamba kuwekwa nyasi bandia ni kuupa hadhi ya kimataifa ni uongo na uzandiki mkubwa kutumia pesa vibaya.Viwanja vyote duniani vyenye hadi ya kimataifa vimepandwa nyasi asilia.
    Jamani Watanzania wenzangu mbona hatufuatilii dunia inavyokwenda?

    ReplyDelete
  5. MICHUZI NDIYE ALIYEKOSEA - MAJANI YA HAPO YAMELETWA TOKA MAJUU - WABONGO SISI TUMEZIDI USHAMBA JAMANI - TUTAFIKA KWELI? HAYO MAJANI HUWA YANATANDIKWA LABDA NDIO MAANA WATU WAKAKOSEA?

    ReplyDelete
  6. Anko michuzi ebu tujulisheee.. hu uwanja unaosema unawekwa nyasi za bandia ni huu mpya au wa zamani? mbona mie naona huokwenye picha kama ule wazamani vile.. sasa mbona wasau wanaongelea uwanja mpya... uwanja mpya nyasi zake ni zakawaida zimeagizwa toka kazakhstan.

    ReplyDelete
  7. mdau! uwanja unaowekwa nyasi bandia ni wa zamani kama unavyoonekana hapo. uwanja mpya hautowekwa nyasi bandia kwa sababu ulizokwishabainisha mwenyewe. asante

    ReplyDelete
  8. Waharakishe ili tuje tuwadhibiti Esperance (kwa sisi wana Yanga!!) .... au uwanja mpya utakuwa umeshakamilika by the weekend of April 20 - 22???

    ReplyDelete
  9. Michuzi hao ni wakugenzi au wakuruwezi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...