Home
Unlabelled
neshno
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huu uwanja kwa kweli ni mzuri sana. Wasiwasi wangu ni kwamba unaweza uka-fall into disrepair kwa kasi isyokuwa ya kawaida pindi tutapokabidhiwa. Hivyo basi, nikiwa raia mwema, ningeomba sana nitoe mapendekezo yangu kuhusu namna tunaweza kuchelewesha huwo uchakavu walau kidogo;
ReplyDelete1. Uwanja usitumike kufanyia magwaride. Haya yaendelee kwenye uwanja wa zamani au tutafute sehemu nyingine
2. Tuajiri wataalam kama watatu kutoka nje waje wakausimamie huu uwanja. Tuajiri watu, na siyo makampuni (k.m Net Group) na hawa watu wawe wanaripoti kwa Board of directors. Hawa wataalamu wapatikane kwa international vacancy advert na walipwe mishahara mizuri. Ningependa sana kama usahili ungeyahusisha makampuni yanayofanya Executive Appointments.
3. Tujaribu kuleta michezo mingi sana ya kimataifa Dar. Tugombee ku-host CAF kwa mfano. Michezo hii huingiza pesa nyingi sana kupitia uuzaji wa TV rights. Pesa hii kitawezesha uwanja kujiendesha.
4. Tuilete ile timu ya Real Madrid wafanye ufunguzi kwani hilo advertise litakuwa ni muafaka kabisa. Huwezi kupata pesa bila kutoa pesa.
UWANJA BOMBA SASA TUACHE MIGOGORO NDANI YA VILABU NA FAT TUPIGE MPIRA SIO MAJUNGU OOOH!FULANI HACHEZEI YANGA AU SIMBA MPAKA BABAKE AFANYAJE SIJUI, HUO NI UZAMA WA KALE.
ReplyDeleteVitambi ni ugonjwa jamani ...amkeni
ReplyDeleteMichuzi hebu tuwaelimishe Watanyania wenzetu,tusiwe tunadanganywa na vitu ambavyo kwa sasa havipo na havikubaliki duniani.Nyasi bandia katika viwanja zilikwishapigwa marufuku na FIFA yapata miaka kumi na mitano sasa,kwa hiyo kuandika kwamba kuwekwa nyasi bandia ni kuupa hadhi ya kimataifa ni uongo na uzandiki mkubwa kutumia pesa vibaya.Viwanja vyote duniani vyenye hadi ya kimataifa vimepandwa nyasi asilia.
ReplyDeleteJamani Watanzania wenzangu mbona hatufuatilii dunia inavyokwenda?
MICHUZI NDIYE ALIYEKOSEA - MAJANI YA HAPO YAMELETWA TOKA MAJUU - WABONGO SISI TUMEZIDI USHAMBA JAMANI - TUTAFIKA KWELI? HAYO MAJANI HUWA YANATANDIKWA LABDA NDIO MAANA WATU WAKAKOSEA?
ReplyDeleteAnko michuzi ebu tujulisheee.. hu uwanja unaosema unawekwa nyasi za bandia ni huu mpya au wa zamani? mbona mie naona huokwenye picha kama ule wazamani vile.. sasa mbona wasau wanaongelea uwanja mpya... uwanja mpya nyasi zake ni zakawaida zimeagizwa toka kazakhstan.
ReplyDeletemdau! uwanja unaowekwa nyasi bandia ni wa zamani kama unavyoonekana hapo. uwanja mpya hautowekwa nyasi bandia kwa sababu ulizokwishabainisha mwenyewe. asante
ReplyDeleteWaharakishe ili tuje tuwadhibiti Esperance (kwa sisi wana Yanga!!) .... au uwanja mpya utakuwa umeshakamilika by the weekend of April 20 - 22???
ReplyDeleteMichuzi hao ni wakugenzi au wakuruwezi?
ReplyDelete