Home
Unlabelled
paparazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kila siku unatuuliza tuuu tumechoka mtajua wenyewe na mapicha yenu hata kama yakifa mapya si yameingia? wee michuzi unapenda sana mteremko wa maisha kila siku sisi tu tukwambie ufanye nini next mbona si ya kwetu twakaa nayo? Joke bro wee wangu!!!
ReplyDeletehaifu bro michu sema tu ile enzi ya mialbamu ndio imepitwa lakini technology ya picha ndio inazidi kwani mpaka simu na sio zamani mpaka mkamera wa betri,sema wapiga picha wale na vibaskeli vyao ajira hakuna.
ReplyDeleteKama mtumiaji wa camera za awali na sasa za digital sioni kama kuna ambalo ni baya ama ambalo ni zuri kushinda mwenzie - yote inategemea na mtumiaji kitu gani anachotaka. Kwa maisha yetu ya sasa ya haraka na ya watu kutaka kujua mengi zaidi kwa njia ya visual, Digital ni muhimu kwani ni tekhnolojia ya 'point and shoot' hivyo waweza kupata picha nyingi ya tukio moja kushinda camera ya ku-focuss. Also sio lazima uwe na line of vision, waweza kupiga picha hata kama tukio au mtu of interest/kitu cha interst kimezingwa. LAKINI, kama unapendelea ART yenyewe ya kuchukua/kupiga picha, basi camera za ku-focuss, kupima mwanga na kuadjust camera na kadhalika ni nzuri zaidi, more rewarding. Na picha zake huwa zina more character. Haya ni mawazo yangu.
ReplyDeletesina kawaida kuingilia mijadala ila kama ishu imengia kwenye 18 zangu uzalendo hunishinda.
ReplyDeletenapenda kumsahihisha mdau hapo juu yangu kwamba kamera zisizo za dijito zaitwa (dah! hazina jina la kimatumbi nami kiinglishi noti ricehobo, acha nijaribu) kamera za filamu na sio 'ku-focus'. na kwa taarifa tu ni kwamba kamera za dijito hazina tofauti na za filamu katika kupiga stati na gia, tofauti ni kitufe ama chombo cha kukamata na kuhifadhia taswira ambapo za filamu ni filamu na ndipo unapata negativu na dijito ile taswira hukamatwa na kuhifadhiwa na kadi ama kijiti cha kumbukumbu (memory card or memory stick) amnbazo zina vidaka taswira kwa njia ya elekroniki. natumai sijakuacha sana kwani kimatumbi bado hakina majina ya vitu vingi hasa vya teknolojia ya kisasa.
kwa lugha ingine ni kwamba 'ku-focus' ni kunyonga lenzi na kufanya taswira iwe nzuri. zile za kulenga-na-kupiga nazo hazina tofauti na binamu zake wa filamu, kwani huko nako ziko kama hizo.
kwa sasa naomba nisichukue upande kati ya filamu na dijito kwani zote ninatumia na mapungufu na faida zake zote zinazo na kama alivyosema mdau mwingine hapo juu, inategemea matumizi na mtumiaji. mstari wa chini ni kupata picha nzuri...
sasa misuupuu!! Hao waandishi wa magazeti ya Udaku wataongea na J-z kutumia lugha gani!!!!!!!!
ReplyDeletewe michuzi sanaa gani unaongelea? kupigwa picha halafu mpiga picha anakwambia picha zako zitatoka jumapili ijayo? world is changing i get my pics right now
ReplyDeleteWell done kaka michuzi. I am so happy today to see you are back fire comment. Yeah you need that sometimes.
ReplyDeleteWatu wengine wanakera sana, hasa huyo wakwanza anayesema usimuulize au usiulize watu maswali. Hebu muulize yeye anafanya nini kwenye blog yako. He/she is a hater. Ana wivu na wewe sana au ndio blogger rival nini? Itabidi um ping ujue ni nani lakini isije akawa anatumia computer ya library tu au internet. Huyu ninaelekea ni mwanablogger anaona kuwa blog yake haipati watu kama yako ndio maana anaona hasira.
Hii blog yako unacommunicate na watu wengi tu sasa sioni kwanini watu wasubiri tu kuelimika kutoka kwako na wee ukitaka ushauri au kuelimishwa kitu basi wameshachukia. Pole sana na moyo wako wakutufurahisha na kutuelimisha ubarikiwe sana. Najua fika ni wachache sana wanayo appreciate vitu unavyovifanya waliobakia wote na ni wengi tu wao ni wenye wivu na majungu.
Your big fan - USA