vijana wa tht ama nyumba ya vipaji bongo wakicheza shoo. kundi hili ambalo liko chini ya ruge mutahaba limejipatia sifa tele kwa kuweza kupiga vita umasikini na kujiajiri katika sanaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. eeh bwana we bongo kumetulia namna hiyo utadhania mamtoni na hao wacheza shoo kama wa shaggy!inafaa watu wote warudi makwao bongo sasa kumetulia

    ReplyDelete
  2. THT ni wazuri na kuna vipaji ambavyo vinaweza kuendelezwa kufikia kiwango cha kimataifa katika chereograph.Tatizo ninaloliona kwa kikundi ni kule kupenda kucheza kingonongono.Sasa sijui ni dira ya kikundi na waanzilishi au ndio kwenda na wakati.Naomba mjirekebishe kungali mapema.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...