kile kioja cha waziri wa liberia aliyelazimika kujiuzuru baada ya picha za mechi yake ya mchangani ipate kwa dada chemi kwa kubofya hapa
Home
Unlabelled
vioja liberia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni aibu jamani ..aibu , aibu mmmh na kinyaa . Kwa kweli ukimwi badooooooooooo sana hapo ni miaka 37 ya ndoa maskini mkewe na watoto wake..Kama ameachwa na mkewe anastahili kabisa
ReplyDeletehuyo waziri ni fala. KAMA UNA CONTACT ZAKE NAOMBA UMWAMBIE KUWA YEYE NI FALA!!! yaani anajiuzulu kwa picha ya kwenye internet??? Basi he is so sweet kiasi dhamiri inamsuta, lakini angeweza kukanusha kukwa si picha halisi bali ya kutengenezwa. Kila mtu anayetumia internet anajua kuwa kuna picha kibao feki. Au la angepiga simu bongo basi aulize ni jinsi hata muuaji anaweza kubadilishiwa mashtaka toka kuua kwa kukusudia mpaka kuwa ya kuua kwa kutokukusudia na sakata likaendelezwa ambapo baadae mashtaka yatapotea katika mazingara (sio mazingira, bali mazingara) ya kutatanisha kwa "kukosekana kwa ushahidi" au "upelelezi kutokukamilika" na mtuhumiwa kuachiwa huru.
ReplyDeleteMh. waziri, do your home work!!!! Liberia is not an island. And Liberia is not a state of the United State!!! Look to Africa for "examples" and not to the US, ebbo!!
Hii inakumbusha zile picha za wale kina dada wa ki TZ ni mobile technology hiyo, au kama ni gest basi jamaa wa kupiga Chabo walimuotea.
ReplyDeleteFull mziki hapa cheki hapa: http://www.theliberiandialogue.org/articles/c022107tws.htm
Demu amponza msomi, sasa yu hoi Muhimbili
ReplyDelete2007-03-20 16:59:31
Na Moshi Lusonzo, Muhimbili
Kijana mmoja aliyejitambulisha kama msomi wa Chuo cha Biashara Jijini, CBE, amelazwa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili, MOI baada ya kupata kipigo kikali toka kwa watu anaodai kuwa ni wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam kwa kile alichoeleza mwenyewe kuwa ni vita ya kumuokoa demu wake.
Kijana huyo aitwaye Edgar Chiwela, 21, anasema amekumbana na kipigo kikali cha madenti wa Mlimani hivi karibuni baada ya yeye kwenda kwenye hosteli yao (Mlimani) iliyopo Mabibo Jijini kwa nia ya kumuokoa mpenzi wake aliyemtaja kwa jina moja la Anita, ambaye kwa maelezo yake, pia ni mwanafunzi wa CBE.
Akisimulia zaidi, Chiwela anasema yeye alipata ujumbe wa simu toka kwa \'girlfriend\' wake Anita, iliyoeleza kuwa mrembo huyo ameshikiliwa mateka na denti mmoja wa Mlimani anayeishi pale katika hosteli za Mabibo.
Anasema baada ya kupata ujumbe huo, ambao ulimtaka aende haraka katika jengo Block D, yeye akatekeleza kivitendo kwa kutia timu katika jengo hilo mishale ya saa 11:00 alfajiri.
``Kufika kwenye chumba nilichoelekezwa, nikawauliza wenyeji mahala alipo mpenzi wangu Anita... jamaa wakasema siku nyingi sana walikuwa wakinisaka na hivyo nimejipeleka mwenyewe. Ndipo hapo wakaanza kunichangia kwa kipigo,`` akasema Chiwele.
Akasema, pamoja na kujitetea kuwa yeye hakufika hapo kwa ugomvi, watu hao waliendelea kumuadhibu kwa kipigo kikali.
Anasema baadaye akatolewa nje na kuendelea kula kipigo kabla askari hawajafika na kumuokoa.
Hatahivyo, Chiwele anasema alishaumia sana mwilini na kichwani huku mguu wake mmoja ukiwa umevunjika baada ya kutupwa chini kwa kishindo.
Baadaye, akasema Chiwele kuwa wasamaria wema walimuwahisha hospitali na ndipo alipolazwa MOI anakoendelea na tiba hadi sasa .
Ofisa Uhusiano wa MOI, Bw. Almas Jumaa, amesema Chiwele amefikishwa MOI akiwa katika hali ya kuzirai.
Akasema hadi sasa, mgonjwa huyo ambaye amelazwa katika wodi 17 ya jengo la Sewahaji, afya yake inaendelea kuimarika siku hadi siku.
SOURCE: Alasiri
Hiyo saga ya Acting Minister of Presidential Affairs/Acting Chief of Staff, Minister Willis D. Knuckles, Jr. na wasagaji wawili hotelini, ilitokea mwezi mmoja uliopita hivi, kutokana eti na kile Knuckles, Jr. alichokiita kutoelewana na vigogo wengine serikalini (wake kwa waume).
ReplyDeleteMaelezo zaidi, fungua:
http://allafrica.com/stories/200702201147.html?page=3
Mtu mtapeli hupenda kuongelea mambo ya utapeli, mtu msagaji hupenda kuongelea mambo ya usagaji, mtu anayependa ngona hupenda kuongelea mambo ya ngono, mtu aliyeleta skandal hii ni mtu ambaye siku za nyuma aliwahi kuandika kkt blog yake mambo ya Serina Williams na matako makumbwa, zaidi ya hapo ameandika HADITHI ZA CHIKU, na kama sikosee pia siku za nyuma aliandika jinsi alivyokoswakoswa kufanya kitendo cha ngono alivyokuwa akitumikia jeshi la kujenga taifa. Kwa kifupi huyu kiongozi kama kajiuzulu ni kwa ridhaa yake tu, viongozi wangapi Tanzania wanafanya mambo machafu zaidi ya haya na hawajajiuzuru?
ReplyDeleteukirudi kwenye swala la wanaume tunajisifia jinsi tunavyo walamba wana dada, kwanini huwa tunawalazimisha? umeshawahifika sehemu inaitwa Jolly club pale Dar es Salaam, kwenda kula nyama au kupata vinywaji usiku? Pale utakuta na MACD wanakugombania kama mpira wa kona, je nani anayependa ngono hapo???
Annoy hapo juu nakuunga mkono.
ReplyDeleteYou are what you always talk /discuss. Kwasababu linalotoka mdomoni always linaanzia kichwani.