KUNA WADAU WENGI WAMEKUWA WAKINIULIZA NAMNA YA KUANZISHA BLOGU. BINGWA WA BLOGU NDESANJO MACHA AMBAYE SIFA ZAKE ZA UTOVU WA UCHOYO HAZINA MFANO ANAKUPATIA MWONGOZO KAMILI WA KUWA BLOGA KUPITIA http://mwongozo.wordpress.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Blog za picha na maneno ya kuandika andika kama hizi zenu zimepita na wakati sasa.
    Siku hizi kuna LIVE BLOG TV unaongea na mtu tete a tete kama una pc yako na cam. Photo Blogs kama hii Old FASHION sasa. Gonga www.liveblogtv.com jiandikishe hapo mchezo umeisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...