
nyota njema huonekana asubuhi ni msemo unaokwenda sanjari na wasanii hawa chipukizi marlaw wa kigongo cha 'bembeleza' (shoto) na ali kiba anayetamba na 'cinderella' ambao tayari wameshawasha indiketa ya kupishwa njia kuelekea ustaani. na endapo kama kazi zao hizo za awali si nguvu za soda, basi waliotangulia wakae mkao wa kupitwa kama wamesimama vile. hii ni kutokana na ukweli kwamba muziki wao ni urijino na wenye mahadhi sio tu mapya bali pia ni ya kipekee... sikiliza songi la ali kiba hapo chini. wa marlaw nawatafutia
sasa kiba si aje kutumbuiza na kwa bibi yake huku kigoma kabla hajachuja..? au ndo kalewa madaraja ya manzese kama brazake michu..!
ReplyDeleteila braza utambulisho wako hapo juu sio vesa vaisi kweli, au vaisi vesaaaa?
Ise Cendlerra ni wimbo mkali sana.
ReplyDeleteUnapatika hapa
http://www.youtube.com/watch?v=ia_xd2nUONQ
Mboni kwene hio video naona watu kama akina p. didi? au mecho yangu yanaitaji miwani nini?
ReplyDeleteJamani Ali Kiba is hot !
ReplyDeleteDah mwanangu kweli hiyo ni vaisi vesa Ali kiba ni aliye kushoto na marlaw ni huyo mfupi
ReplyDeleteShiiii!!!!!
ReplyDeleteWimbo kwa kweli wa cinderella naufagilia sana na ni mkali sana.Ila kaka hilo pozi la huyo mshikaji mwenye shati jeupe sijui ndo Ali kiba ua marlaw (huyo mfupi) limeniacha sina mbavu.Yani nimekumbuka miaka ya 90's tulivyokuwa shule.Yani hapo akinyoosha tu mkono na kupiga dole tu,baaasi kamaliza mchezo.Mwaka 47
Wa majita Bugunda
Nimetumiwa CD ya nyimbo mpya za bongo, sio siri, almost all of them zinafanana. Utadhani mtunzi, mwimbaji na produza ni mmoja ktk nyimbo zote
ReplyDeleteALIKIBA vua shirt basi tuone kifua chako ....kaka u r HOOOOT like FIRE!!! and u know that.
ReplyDeletelol jamani alikiba uko hot sana anyway he is ma boo sina taabu hey guyz mshangilieni jamani,thankx.
ReplyDelete