uwapo dar usishangae kukuta kipaa anga kipya kikichomoza pembezoni mwa makao makuu ya jeshi la polisi na uhamiaji. hilo ni jengo tarajiwa la makao makuu ya benki ya exim ambayo imetimiza miaka kumi ya huduma safi chini ya mwanamke wa shoka mama mwambenja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. SIJUI NI KWA NINI HILO JENGO HALIJAKAA SAWA KUFUATA MTAA LIKO KAMA LIMEKAA UPANDE MMOJA UMEINGIA NDANI YA KIWANJA SANA (HALIKO SAMBAMBA NA MTAA). SIJUI KUNA WATAALAMU WANAWEZA KUTUAMBIA NI KWANINI WAMEJENGA HIVYO?

    ReplyDelete
  2. HIKO JENGO HAPO MBELE JEUPE NDIO JENGO GANI?

    ReplyDelete
  3. jengo jeupe mbele hapo ni RAHA TOWERS.liko mkabala na mahakama ya kisutu.

    ReplyDelete
  4. du acha hizo, wewe passport uliipatia wapi? hilo jengo jeupe ni wizara ya mambo ya ndani na usalama wa raia...ndani yake kuna ofisi za uhamiaji makao makuu...nilipanga foleni hadi nusura nife wakati naomba passport yangu...

    ReplyDelete
  5. hapo ni ofisi za uhamiaji...wewe passport yako uliipatia wapi?
    mdau - uk

    ReplyDelete
  6. kwa anyejua atuambie hilo jengo litakuwa na ghorofa ngapi maana hapo tuu linaonekana litakuwa the tallest building in Tanzania

    ReplyDelete
  7. Wamekalia kujenga maghorofa tu maji yakupeleka kwenye hayo maghorofa hakuna,vyoo vichafu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...