si lazima uwe ughaibuni uishi maisha tambarare...huyu mdau anapatikana http://www.delinagroup.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 84 mpaka sasa

  1. so what wewe michuzi mshamba sana pia mtu wa kubabaika kinoma noma acha ushamba kaka kushi tambarare unaishi sehemu yoyote na maisha ya ughaibuni huwezi kufananisha vigari kuna mambo mengi ambayo wewe mshamba michuzi huyajui/hujayaona

    ReplyDelete
  2. tambarare huku kiroho kipo juu sijui majambazi wataingia kesho... maji hakuna ...umeme ndio hivyo tena. Huduma duni kila mahali unapoenda. Ila ndio bongo yetu.

    ReplyDelete
  3. Ni kweli Michu, hasa kwa nchi yetu ambayo unaweza kuwa na mali za mamilioni bila kuwa na shughuli yoyote inayojulikana na kodi hulipi na hakuna anayekuuliza!!! Mwenyezi Mungu atubaliki tuendelee hivyo ndio amani yenyewe tunayojivunia.

    ReplyDelete
  4. nimekubali Audi Q7 mwanangu hilo< safi sana lazima ujipendelee!

    ReplyDelete
  5. Kwani mashindano? ama unataka kila mtu aaanze kuonesha magari na nyumba wanazoishi?

    ReplyDelete
  6. One in a million Tanzanians.Tupe maisha ya walio wengi

    ReplyDelete
  7. huyu si davis mosha!kauza range kanunua audi au zote anazo?mh haya hongera

    ReplyDelete
  8. Jamani huyu mtu ni nani maana du nimemkubali haya weeeeeeeeeeeeee na mimi narudi bongo na 109 yangu subirini

    ReplyDelete
  9. Hivi kwa nini watu wengi walioko Tanzania wana inferiority complex ? Kwa nini mnataka kujifananisha na watu wa ughaibuni ...Jamani ishini maisha yenu msijaribu kuishi kama watu wa ughaibuni bali muwe na maisha bora kuliko watu wa ughaibuni

    ReplyDelete
  10. unacheza wewe mithupu nani kakwambia ughaibuni maisha tambarare,hapa ughaibuni usipokomaa utatoka bilabila magari yenyewe tunalipia kwa mwezi, tofauti ni kwamba mfano hapa USA oppurtunity ni nyingi lakini kama hujakomaa au huna dira ya maisha utatoka KAPA.

    ReplyDelete
  11. Hii ndio gari gani??

    ReplyDelete
  12. IS THAT JACK PEMBA????

    ReplyDelete
  13. hiyo tunaitaga show offffffffffffffffff

    ReplyDelete
  14. Naona michu sasa unaanza ugomvi na wadau wako wa ughaibuni ambao ni maarafu kama wazee wa maboksi!

    Kombora hilo!, jiandae kujibu mashambulizi mkubwa. naamini hawatakuacha hivi hivi!

    Mie Simo, na wala sijasema kitu!

    ReplyDelete
  15. M Taiko-ndo wa Dar,
    Nafikiri huyu ni Davis Mosha

    ReplyDelete
  16. Michu ughaibuni hakuna tambarare, tambarare iko bongo tu huku kuna maboksi amabyo yanakufanya upinde mgongo wa bills.Hilo gari na nyumba aliyo nayo hana deni nalo huku utalipa madeni maisha yako yote, labda na sisi tuwe na ari mpya na kasi mpya ya kukopa why not?

    ReplyDelete
  17. Huyu jamaa ni mdogo wake Karamagi,tehe tehe tehe
    mambo ya buzwagi haya
    LaLu

    ReplyDelete
  18. Michuzi yaani umenichekesha sana na hiyo picha ya jamaa! Ukitaka ugomvi uanze kuuliza gari kalipataje. In anyway, that car is very nice!

    ReplyDelete
  19. Kibopa gani huyo kitambi cha maharage.. si hasha yeye kaajiriwa kuendesha hilo gari analolia mapozzz.Hapo bado aje tu abebe box

    ReplyDelete
  20. Na hivyo ndivyo inavyotakiwa Bongo kumeremete kama mamtoni!

    ReplyDelete
  21. Utajiri wa kibongo- Gari zuri, kuvaa vizuri,simu nzuri ya mkononi.hapo hujatuonyesha nyumba nzuri tuu.Duuh kazi kweli kweli!!

    ReplyDelete
  22. Hiyo ni Audi Q7 Quattro, aina poa sana ya Audi SUV iliyotolewa mwaka huu, very nice car, lakini naomba unitafutie mwenye ndugu yake aitwaye VW Toureg V10, hiyo ni kali kishenzi, zote za Mjerumani. Hongereni watanzania wenzetu.
    -Bahati, AL-USA.

    ReplyDelete
  23. MBONA HAPA JAMAA WAUZA MIKATE WANA
    TOUREG VW? ANYWAY HIYO NCHI SAFI.
    MAANA HAKUNA ANAYEHOJI MALIPO YA
    KODI YAKO NA KIPATO ULICHONACHO
    KAZI KWELI KWELI.YANI LABDA UNA
    KIOSK UNALIPA HALMASHAURI PALE CITY
    ILA UNA AUDI KAMA YA ROBERT CARLOS
    HAPA.NA HAKUNA ANAYEHOJI.AKIHOJI SANA.MNA''CHI'' AU MNA BUZWAGI
    KIAINA SIYO.RAHA KWELI KWELI

    ReplyDelete
  24. Mimi huku kwetu gari langi hiyo ni lahisi sana nawala haina soko.

    ReplyDelete
  25. Wewe m-Tanzania wataka kumkoga nani? Kwanza hivyo hatuvitenegezi!

    Mara plazma, mara kiselula kidogo zaidi ya mwingine, mara sijui nini!!!!!!!!

    Vya kisasa, vya kisasa! Vya kisasa, vya kisasa!Vya kisasa, vya kisasa!Vya kisasa, vya kisasa!Vya kisasa, vya kisasa!Vya kisasa, vya kisasa!

    Kila siku vyabuniwa, vyagunduliwa na vyatengenezwa!

    Nyerere mwaka 1967 alisema "Kiatu cha mchongoko...kiatu cha Kitaliano..kiatu caha mchuchumiao (high heels)...unataka kumkoga nani? Mimi nina masuti mengi ninaweza kuyabadili kila siku ya juma bila ya kuyamaliza...lakini ka-kitenge aka kananifaa sana!"

    ReplyDelete
  26. Michuzi ,

    Nimefurahi sana kuona picha ya Davis Mosha . Mimi namfahamu huyo bwana kwani alikuwa mfadhili wa timu yetu pale mbezi beach , ni kijana aliyebarikiwa kuwa na hela lakini ana roho nzuri sana .

    Pamoja na kuwa na hela nyingi David ana show off hata kidogo na wala adeserve kusemwa na wanajumuia wa hapa.

    ReplyDelete
  27. MICHU HIVI HUKO NYUMBANI HAKUNA CHA KUFANYA???????????
    INAKUWAJE UNAWEKA PICHA ZA WATU WAMEPIGA KWENYE MAGARI???

    ReplyDelete
  28. INAKUWAJE????????? PICHA YA MTU KAPIGA KWENYE GARI YA NINI??? HUU SASA UZUSHI. WEKA MAMBO YA MAENDELEO BWANA AAAH

    ReplyDelete
  29. Kototo imekwama koo wafa maji hawaishi kutapa tapa.Kaiba , Kakopa, Kahongwa, Kasign buzwagi nyi mnayo?? Watanzania hatupendani ukiona mtu kafanikiwa kidogo tu lazima maneno meeeengi badala ya kusaidiana kwama wahindi na waarabu tutabakiaga hivi hivi tulisemana ulishawahi kumwona mchawi anamaendeleo anaroga watu lakini yeye ndio ana hali mbaya kabisa. Mtz ni mtz tu hata akienda ulaya Utz uko palepale msipime acheni hizo!!!! we CID jaribu kufanya kama Nyerere tuone kama utalst

    ReplyDelete
  30. Michuzi unapenda mijadala sana. Lakini kumbuka wenzako kuwa na gari ni necessity sasa kwa bongo kuwa na gari ni luxury.

    ReplyDelete
  31. Hela yote hana fashion stylist hiyo suruali kidogo chupa sana chini

    ReplyDelete
  32. 1.Kaka Michu bado naikumbuka kauli ya Mh. Sumaye."ukitaka kufanikiwa mambo yako kua mwana CCM". Hili aliliweka wazi na wala hakulificha!
    2. Ukitaka kumiliki chombo kama hicho uwe meneja uhusiano wa kampuni fulani(kwa TZ ni vyeo vya watoto au ndugu wa vigogo tu! Sie wengine tulie tu.
    3.Utoe sana kafara utaendesha tu mkoko
    4.Uibe sana mfano kazi za wasanii,upromota wa kinyonyaji n.k
    5.Au upige deals haramu
    6. Uwe mbishi sana sana,na hii ni kwa kina sie.Yani uwe mbunifu sana na mtekelezaji pia mwenye bahati sana kuweza kuchungulia na kuyang'amua masoko na kwa mbali karushwa uwe unakatoa kuharakisha mambo
    Vinginevyo utasubili sana ili uje ku'drive' kihalali,mfano unalipwa sh.1m kwa mwez utaendesha gari la sh.50m baada ya mishahara 60 hv na ukiishi nyumba ya kupanga!. Bro amini usiamini unaweza kwenda kulikagua hilo gari si ajabu ukakuta insurance haina,imepita muda au hailingani na thamani ya gari yake,ndio utagundua sie noma! Ila yote hayo sita hayausiani na huyo kibopa!. Tusubiri kesho pengine tutasikia interpool wanalishikilia hilo gari maana juzijuzi niliskia waneing'ang'ania mikoko kibao ya maana sijui ni kwanini? Eti why?

    ReplyDelete
  33. Mkopo bongo unalipa up to 25% interest na inflation ipo kati ya 5.5 & 9.5% ukitaka kua masikini milele kopa ununue gari au nyumba au uendeshe biashara ya kati au ya juu katika inflation rates za dizaini hiyo kama hujapigwa mweleka! Labda ufanye biashara isivyo halali lakini kihalali madeni hayalipiki bongo matokeo yake majembe auctions mart kila wiki wanapata kazi!

    ReplyDelete
  34. huyo jamaa aliyesema kuwa hii picha itawachokoza walio ughaibuni hana akili hata kidogo. TENA NI MGENI WA MAMBO KWA SABABU ,

    1. kwa sababu watu walio ughaibuni watarudi bongo na wanajitahidi kutuma vijisenti home ili kusaidi ndugu na jamaa. Most of all tunajua ukiwa na hela, home ndo sehemu ya kuishi, tutarudi tukiwa sawa

    2. huku unaweza ukwa unajaza mafuta , next pump kuna mtu anajaza Lamborghini lake. ..hakuna cha kushangaa kuhusu hilo gari

    3.-(a)Watu wa ughaibuni si lazima wanunue cash,unaweza kulease ikawa gari yako ya kila siku , au unakodi incase unaenda mbali kidogo. Tunaendesha gari mpya kulko hilo.
    -(b)hiyo gari ipo ktk category ya Used cars, watu wanaotaka kujionyesha ughaibuni, wanaendesha magari mapya kuliko hilo. Tofauti wao hawa Own, huyo jamaa ni ya kwake .

    5. Mtaendelea kula ugali kwa picha ya samaki, gario sio yako wewe unatukana wengine.

    6.chances are michuzi hauto pitisha post hii. hivyo mwambie huyo jamaa nampa hengera hiyo ni gari nzuri ku own.

    7...michuzi pse, kama ukija tena USA repost hii topic as a reminder. Ntahakikisha unapanda gari mpya kali kuliko hiyo . Usiishie kupiga picha tu.

    ReplyDelete
  35. WATANZANI NA WAAFRIKA KWA UJUMLA BADO TUPO NYUMA MPAKA TUNATIA AIBU.
    SISHANGAI MICHUZI KUPOST HII PICHA
    KWA SABABU LUCKY DUBE KAUAWA KWA AJILI YA CHRYSLER .
    UGENI WA MAMBO , HIYO GARI HAIFIKII BEI YA VW TOUREG .

    kama mdau alivyo sema hapo juu, hiyo gari muuza duka anaendasha huku kulingana na mipango yake.

    ReplyDelete
  36. MICHUZI !!!!

    KTK CLASS YAKE HIYO GARI NI SAWA NA NISSAN PATROL(ARMADA) KWA BEI . NI CHEAPER THAN BMW , IMEPITA KIDOGO VW TOUREG .

    WATU WANGAPI WANA NISSAN PATROL DAR, AU NI UGENI WA AUDI ???

    ReplyDelete
  37. Angalia hapo aliposimama, vumbi tupu..halafu siajabu anapoishi mpaka avuke mitaro ndo afike nyumbani..na akifika umeme hakuna maji ya kujirushia kwa mikono ndo uoge, shimo taka liko nje ya nyumba na siajabu majirani zake wote wanakunya vichakani..Majuu majuu tu..magari siyo majuu....kama wewe ni mshamba utadhani majuu ni sawa na bongo..kama huna upeo..utadhani maendeleo ni magari..na kuvaa tai ambayo hata imefungwa kimakosa..angalia urefu wa hiyo tai...!!Ujilinganishe na majuu kwa pesa za wizi ambazo hazilipiwi kodi au zimeibiwa pesa za misaada ya ukimwi? Jamani acheni kuleta za kuleta...halafu huyo jamaa anajionyesha..hiyo picha si ya bahati mbaya..tunajua Audi gari bei mbaya...je anapoishi panafananaje? Ana maji ya moto? Gas iliyounganishwa kama bomba la maji? Ana lami mpaka nyumbani au ndo za kule mbezi kuvuka mitaro ya maji machafu ndo ufike nyumbani? Hakatiwi umeme? au ndo mpaka awashe jenereta yake? Ana internet nyumbani? High speed internet? Hiyo mikwara mbuzi tu..tuulizeni jamani tulioshi majuu miaka nenda rudi...!! Kwa wadau wa huko kariakoo, vingunguti na mburahati..ame-make maisha kwa kweli..ila kwangu mimi...namuona wa kuja tu...Umejitahidi kaka...ila hujafikia stage ya majuu...!!

    ReplyDelete
  38. Sasa Michu, gari ndo kipimo cha kuwa tambarare? Kama ndo hivyo bongo basi bado tu nyuma sana kwa hilo...Watu wanaosemekana kuishi "tambarare" inatakiwa wabuni miradi ya kuwapatia watu ajira na sio kunyesha magari tu!

    ReplyDelete
  39. HILI GARI MICHUZI LINAUZWA USED USD 20000 KWA NINI USINIONESHE MTANZANIA AMEKAMA LAMBOGHIN AMA FERARI? HAYA NDIYO MAGARI YA SHOKA LAKINI HILI AMBALO HATA MFANYA KAZI WA NURSING HOME ANALO UNATUWEKEA KWENYE BLOG? AIBU BADO YUPO NYUMA SAFARI NI NDEFU. KOBE KAMNUNULIA MKE WAKE MACHINE YA DOLLAR 4,000,000 SASA UNASEMAJE SISI BONGO NI MASKINI HILO NI GARI LA NURSE AMA MBEBA BOX TU HUKU....

    ReplyDelete
  40. Kaka Michuzi eti nasikia Wilaya ya TEMEKE yote HAKUNA MAJI ya bomba kwa kuwa eti chanzo cha maji huko kimekauka na kupelekea mashine ya maji pale mtoni kwa Aziz Ali kuzimwa? Eti kweli?

    ReplyDelete
  41. Tehe tehe tehe!!! Wabeba Mabox wana hasira na wabongo wallahi, siku wakatikamata watatukamua!! sasa sisi ndo tuliowaambia mkabebe maboski (box) tehe tehe tehE!! halafu mnashindia mikate ma maji...hehe tabu gani hiyo sasa? Rudini Bongo!! tehe tehe tehe!!mnateseka bure ki9sa uonekane upo ulaya!! huu ulimbukeni jama!!

    ReplyDelete
  42. A big fish in a small pond - mud water pond to be exact! What does it take for someone in Tz to own such a car? Probably a few hundreds peoples'lives (wizi wizi tu) Tambarare gani wakati barabara za vumbi!! Huko majuu wakitaka kujaza gari vumbi (off roading) wanafanya kutoka njiani na kutafuta barabara za vumbi - do you see the difference? Look, a few people try to compare Tanzania or other African countries to the Western World by using petty things like cars, clothes etc, but they miss a bigger picture especially public services and infrastructures. Listen there's a reason African countries are termed 'Developing Countries' while USA, Uk, and Western world countries in general are considered 'Developed Countries' Stop comparing countries that can barely support their citizens to countries that are there already by lying to yourselves by showing fansy Germany cars. By the time Tanzania is where USA or Uk is, these western countries will probably have migrated to the moon. Acheni kuwa mabwege.

    Na nyie mlioko majuu wengine washamba tu. Kama mnafikiri huko juu sio tambarare kulinganisha na huku Tanzania, basi mbona hamrudi?? Msitudanganye

    ReplyDelete
  43. I LOVE THIS BLOG! LOL!!!
    ~Sam.

    ReplyDelete
  44. mnagombana buree jamaa huyo pesa ya maunga au zile alizokwapua kwa wazalendo bila kulipa kodi.hamuwezi kufananisha na majuu kwani huku "alutacontinue"hakuna cha rahisi shukuruni muko nyumbani ombeni mungu angalau akujalie maisha angalau nafuu ather wise "wadosi wanabeba vyote haaa!!tahamaki mbongo uko miguu juu."wacha tubebe maboksi bwana angalau umeme sio wa mgao"-mc pales.

    ReplyDelete
  45. SOURCE
    World Bank Statistics, 2004DEFINITION
    the value of all final goods and services produced within a nation in a given year. GDP dollar estimates here are calculated at market or government official exchange rates. Per capita figures expressed per 1 population.Economy Statistics > GDP > Nominal (per capita) (most recent) by country
    VIEW DATA: Totals Per capita
    Definition Source Printable version

    Bar Graph Map Correlations


    Showing latest available data. Rank Countries Amount (top to bottom)
    #1 Luxembourg: $66,463.78 per capita
    #2 Norway: $54,467.23 per capita
    #3 Switzerland: $47,999.07 per capita
    #4 Ireland: $45,707.17 per capita
    #5 Denmark: $44,742.82 per capita
    #6 Iceland: $41,720.45 per capita
    #7 United States: $39,452.74 per capita
    #8 Sweden: $38,480.78 per capita
    #9 Japan: $36,285.57 per capita
    #10 Finland: $35,726.02 per capita
    #11 Austria: $35,443.98 per capita
    #12 United Kingdom: $35,421.29 per capita
    #13 Netherlands: $35,183.76 per capita
    #14 Belgium: $33,754.34 per capita
    #15 France: $33,015.40 per capita
    #16 Germany: $32,929.58 per capita
    #17 Australia: $31,421.40 per capita
    #18 San Marino: $30,470.91 per capita
    #19 Canada: $29,866.30 per capita
    #20 Italy: $28,781.68 per capita
    #21 United Arab Emirates: $27,686.31 per capita
    #22 Aruba: $26,199.59 per capita
    #23 New Zealand: $24,705.58 per capita
    #24 Spain: $24,576.53 per capita
    #25 Singapore: $24,134.21 per capita
    #26 Qatar: $23,667.20 per capita
    #27 Hong Kong: $23,627.34 per capita
    #28 Cyprus: $19,763.30 per capita
    #29 Greece: $19,066.46 per capita
    #30 Israel: $18,726.78 per capita
    #31 Kuwait: $17,871.58 per capita
    #32 Bahamas, The: $17,429.34 per capita
    #33 Slovenia: $16,002.98 per capita
    #34 Portugal: $15,926.65 per capita
    #35 Macau: $15,060.17 per capita
    #36 Korea, South: $13,973.27 per capita
    #37 Bahrain: $13,956.66 per capita
    #38 Malta: $13,522.06 per capita
    #39 Antigua and Barbuda: $11,684.76 per capita
    #40 Trinidad and Tobago: $11,668.84 per capita
    #41 Czech Republic: $10,452.79 per capita
    #42 Saint Kitts and Nevis: $10,190.46 per capita
    #43 Hungary: $9,964.23 per capita
    #44 Saudi Arabia: $9,484.33 per capita
    #45 Barbados: $9,420.16 per capita
    #46 Seychelles: $8,671.23 per capita
    #47 Estonia: $8,108.03 per capita
    #48 Croatia: $7,606.76 per capita
    #49 Slovakia: $7,566.19 per capita
    #50 Oman: $7,227.85 per capita
    #51 Mexico: $6,369.85 per capita
    #52 Poland: $6,271.93 per capita
    #53 Palau: $6,255.23 per capita
    #54 Lithuania: $6,189.32 per capita
    #55 Equatorial Guinea: $6,114.92 per capita
    #56 Latvia: $5,951.53 per capita
    #57 Chile: $5,888.56 per capita
    #58 Lebanon: $5,689.49 per capita
    #59 Botswana: $5,279.88 per capita
    #60 Gabon: $5,185.08 per capita
    #61 Libya: $5,050.12 per capita
    #62 Mauritius: $4,919.58 per capita
    #63 Malaysia: $4,916.96 per capita
    #64 Grenada: $4,871.40 per capita
    #65 South Africa: $4,798.33 per capita
    #66 Costa Rica: $4,580.43 per capita
    #67 Panama: $4,392.68 per capita
    #68 Saint Lucia: $4,383.33 per capita
    #69 Turkey: $4,334.56 per capita
    #70 Venezuela: $4,308.26 per capita
    #71 Russia: $4,060.77 per capita
    #72 Dominica: $3,896.91 per capita
    #73 Belize: $3,892.07 per capita
    #74 Uruguay: $3,846.02 per capita
    #75 Argentina: $3,831.78 per capita
    #76 Saint Vincent and the Grenadines: $3,428.80 per capita
    #77 Romania: $3,276.62 per capita
    #78 Brazil: $3,249.93 per capita
    #79 Bulgaria: $3,239.06 per capita
    #80 Fiji: $2,940.60 per capita
    #81 Jamaica: $2,934.94 per capita
    #82 Tunisia: $2,797.52 per capita
    #83 Namibia: $2,686.36 per capita
    #84 Kazakhstan: $2,682.93 per capita
    #85 Algeria: $2,602.02 per capita
    #86 Macedonia, Republic of: $2,565.28 per capita
    #87 Thailand: $2,547.14 per capita
    #88 Suriname: $2,531.13 per capita
    #89 Peru: $2,449.15 per capita
    #90 Iran: $2,392.15 per capita
    #91 El Salvador: $2,360.03 per capita
    #92 Guatemala: $2,284.92 per capita
    #93 Colombia: $2,267.17 per capita
    #94 Cape Verde: $2,266.73 per capita
    #95 Ecuador: $2,265.94 per capita
    #96 Belarus: $2,218.35 per capita
    #97 Serbia and Montenegro: $2,215.90 per capita
    #98 Maldives: $2,156.94 per capita
    #99 Albania: $2,130.23 per capita
    #100 Swaziland: $2,120.39 per capita
    #101 Micronesia, Federated States of: $2,090.56 per capita
    #102 Dominican Republic: $2,063.32 per capita
    #103 Samoa: $2,047.53 per capita
    #104 Jordan: $1,943.75 per capita
    #105 Tonga: $1,894.65 per capita
    #106 Bosnia and Herzegovina: $1,833.18 per capita
    #107 Marshall Islands: $1,828.31 per capita
    #108 Angola: $1,700.18 per capita
    #109 Vanuatu: $1,535.82 per capita
    #110 Morocco: $1,529.52 per capita
    #111 Zimbabwe: $1,459.58 per capita
    #112 West Bank: $1,447.61 per capita
    #113 Djibouti: $1,390.80 per capita
    #114 Ukraine: $1,386.24 per capita
    #115 China: $1,262.59 per capita
    #116 Syria: $1,253.89 per capita
    #117 Turkmenistan: $1,245.36 per capita
    #118 Congo, Republic of the: $1,217.10 per capita
    #119 Armenia: $1,189.74 per capita
    #120 Paraguay: $1,122.72 per capita
    #121 Georgia: $1,088.52 per capita
    #122 Azerbaijan: $1,077.22 per capita
    #123 Indonesia: $1,064.75 per capita
    #124 Honduras: $1,028.32 per capita
    #125 Guyana: $1,027.07 per capita
    #126 Sri Lanka: $999.50 per capita
    #127 Bolivia: $990.40 per capita
    #128 Philippines: $983.75 per capita
    #129 Egypt: $969.58 per capita
    #130 Côte d'Ivoire: $883.69 per capita
    #131 Cameroon: $867.26 per capita
    #132 Nicaragua: $796.52 per capita
    #133 Papua New Guinea: $704.96 per capita
    #134 Lesotho: $677.01 per capita
    #135 Senegal: $654.79 per capita
    #136 India: $640.47 per capita
    #137 Yemen: $619.19 per capita
    #138 Kiribati: $601.41 per capita
    #139 Pakistan: $591.77 per capita
    #140 Moldova: $582.49 per capita
    #141 Nigeria: $559.98 per capita
    #142 Comoros: $546.74 per capita
    #143 Mongolia: $546.40 per capita
    #144 Vietnam: $541.20 per capita
    #145 Benin: $532.75 per capita
    #146 Sudan: $486.70 per capita
    #147 Zambia: $478.51 per capita
    #148 Kenya: $461.13 per capita
    #149 Solomon Islands: $449.79 per capita
    #150 Uzbekistan: $445.42 per capita
    #151 Chad: $443.72 per capita
    #152 Mauritania: $439.59 per capita
    #153 Haiti: $435.24 per capita
    #154 Kyrgyzstan: $428.49 per capita
    #155 Mali: $426.02 per capita
    #156 Bangladesh: $393.88 per capita
    #157 Ghana: $392.78 per capita
    #158 Laos: $387.97 per capita
    #159 Togo: $381.67 per capita
    #160 Guinea: $371.10 per capita
    #161 Burkina Faso: $357.55 per capita
    #162 Cambodia: $337.12 per capita
    #163 São Tomé and Príncipe: $330.83 per capita
    #164 East Timor: $325.65 per capita
    #165 Central African Republic: $314.06 per capita
    #166 Bhutan: $301.52 per capita
    #167 Tanzania: $295.14 per capita
    #168 Tajikistan: $290.06 per capita
    #169 Mozambique: $285.88 per capita
    #170 Gambia, The: $260.19 per capita
    #171 Niger: $253.31 per capita
    #172 Uganda: $250.58 per capita
    #173 Nepal: $242.33 per capita
    #174 Madagascar: $241.91 per capita
    #175 Rwanda: $218.58 per capita
    #176 Guinea-Bissau: $198.16 per capita
    #177 Eritrea: $198.07 per capita
    #178 Afghanistan: $192.49 per capita
    #179 Sierra Leone: $183.23 per capita
    #180 Liberia: $154.48 per capita
    #181 Malawi: $142.68 per capita
    #182 Ethiopia: $110.56 per capita
    #183 Congo, Democratic Republic of the: $108.14 per capita
    #184 Burundi: $84.29 per capita
    Weighted average: $8,142.84 per capita



    DEFINITION: the value of all final goods and services produced within a nation in a given year. GDP dollar estimates here are calculated at market or government official exchange rates. Per capita figures expressed per 1 population.


    SOURCE: World Bank Statistics, 2004

    ReplyDelete
  46. ukija helsinki gari kama hizo ndio zitakuchukua kutoka airport hadi sehemu unapotaka kwenda i mean ni taxi, gari zote za kifahari huku ni taxi kwa hiyo sio issue sana.

    ReplyDelete
  47. Kweli jamani hata mm nataka kudi nyumbani,kwani maisha ya ughaibuni nimeyachoka.Yaani sasa hivi nimetoka kubeba boksi na wakala wangu mwingine kanipigia simu akihitaji niende kazi lakini nimeshindwa.Fedha zote ninazopata naishia kulipia kodi,umeme,maji na bili ha ha ha ha!!Lakini watu nyumbani wanaisha maisha ya raha mustarehe.Vilevile nimechoka kuosha na kupangusa mavi vibibi vya kizungu,mara vitutukane mara viseme tunavichafua na rangi yetu,yaani basi tu,juzi tu pale Conventry nilikutana na vitoto vikaanza monkey business kwa kweli nilifadhaika sana lakini nifanye nini hii siyo nchi yetu na sipo nyumbani kwetu.Mimi nakushukuru san Michu kwa ujasiri wa kutuonyesha maisha bora ya nyumbani ingawaje ni asilimia chache ya watu wanaoishi kwenye mfumo huo.Huku bwana raha hakuna ni karaha tu,sasa hivi tunakimbilia kwenye winter nadhani unanielea bwanamateso mengine hayo.Bwana hapo juu hongera sana bwana kwani kuwini siyo ughaibuni tu,huku ni matesa na utumwa wa kazi,wenzetu wakizeeka watapelekwa Care Home lakini mimi nitarudi kuwa ombaomba nyumbani,sisi wanaughaibuni tuacheni muda mwingine kupayuka sana,siyo kuwa tumewini kuishi huku,mateso.....Mimi nimechoka natamani hata leo nirejee nyumbani lakini Visa yangu inaisha miaka miwili ijayo.

    Mtarajiwa mtaafu wa ughaibuni

    Cheers guys!!

    ReplyDelete
  48. Tehe tehe tehe ,jamani wabeba mabox hawakubali kabisa,nyie endeleeni tu kubeba mabox sisi tunafurahia maisha bora kwa kila mtanzania tehe tehe tehe tehe

    ReplyDelete
  49. wabongo hamna mpango mnaendesha magari mazurii usiku yanapack CCM !!!

    ReplyDelete
  50. Kuishi Ulaya ni achievement...... jamani jamani jamani stop there!

    ReplyDelete
  51. Hawa wabeba maboksi kweli wanatia AIBU jinsi wanavyokandia kwao wenyewe.

    JAMANI AMKENI nyumbani ni nyumbani hata kukiwa kubaya. Jamani waafrika mnatakiwa muwe proud na mnakotoka, acheni ulimbukeni.

    Am challenged jinsi watu kama wahindi, wachina, waarabu wanavyohusudu kwao ila MTU MWEUSI LAANA TUPU NA ULIMBUKENI NDIO umewajaa, ndio maana mtu mweusi kashindwa kuendelea duniani.

    Oneni aibu nyie wabeba maboksi, AMKENI SASA

    ReplyDelete
  52. Ukitaka kujua vichaa wamepona au la, wawekee test kama hii, kila mmoja atasema lake.

    ReplyDelete
  53. Jamani jamani huyu bwana pesa anayo jamani na ni majuzi alikuwa kwenye ziara ya Rais akiwa ni kwenye Kundi la Wafanyabiashara toka Bongo, ukitaka kujua anafanya shughuli gani angalia web yake hapa www.delinagroup.com halafu ndio muendelee kumnanga!!!

    ReplyDelete
  54. NICE CAR HII (AUDI) INAITWA LORD OF THE RINGS LAKINI USIKUTE ANA PARK OFISI YA CCM...KWA KUHOFIA WATOTO WA KIHUNI. MAANA NDIO SHIDA ZA BONGO HIZO

    ReplyDelete
  55. JAMANI ACHENI CHUKI BINAFSI NA ACHENI stereotyping...meaning msi generalize. Sio kila m-tanzania ana hali ngumu huku abroad na sio kila mtanzania ni m beba maboksi. Kama ambavyo sio kila mtanzania ni mlala HOI nyumbani. Na maisha sio lazima yawe Tanzania na wala si lazima yawe U.S. ama U.K ama Japan. Chambueni mambo. Kuna watu Tanzania wana wealth (si maanishi gari ama nyumba as kipimo cha wealth)ila wana assets na equity kuliko majority ya middle class people in developed countries, na vice versa. Na kuna watanzania huku wana hali mbaya kama nyumbani tu. My point is GARI ama nyumba sio kipimo cha utajiri. Kuna watu (Tanzanians and Americans pia) wana magari makali na nyumba za nguvu tu hapa Minnesota lakini they are in big debt. Huo sio utajiri. What is Utajiri BTW? Ukiamua ku staafu kazi leo ama kulazimishwa kustaafu kutokana na circumstances tofauti, e.g. ugonjwa, disability, etc. Can you continue to live the same lifestyle without any interruption? Au lets say kutokee disaster ambayo ita wipe out all the properties that one owns. How soon can that person recover his/her properties.
    Kwa hiyo an expensive SUV is not a measurement kwamba someone is wealthy. Kama ambavyo kuishi ma mtoni sio factor kwamba kimekubalika kimaisha.
    Mwisho napenda kutoa hongera kwa huyo mdau mwenye hiyo Lord of the Rings (nick name ya Audi) kwa kutoa changamoto kwa sisi wote.
    Peace Out.

    ReplyDelete
  56. Wabeba box hawana hasira ila wanaona hasira wakiona kuwa bado nchi yetu haijaendelea na ina view utajiri ni kuwa na gari. Ni aibu sana.

    Wabeba box wanachangamkia life ili kuiondoa nchi yetu kwa umaskini. Sasa tukiona ndugu zetu bado wanamawazo hayo ndio hasira zinazidi. Ukituma picha bongo ya kawaida watu wanaanza kukuomba hela. Kwa vile wao utajiri ni those damn few things wanavyoona ukishakua nacho basi wew tajiri. Lakini oh well, bongo hamna cha tax wala nini kwa hiyo once ukishakuwa navyo havilipiwi taxi wala nini. Na jinsi ulivyovipata nonobody even know. hata Govt aijui umeingizaje hiyo hela.

    You know at least tuwe na watu wengi middle income people nchini kwetu basi tutakua na mawazo ya kimaendeleo. Nchi sasa hivi tuna wengi poor people na low income na very few middle income people. Na you can county with one hand higher income people ambao ni watanzania halisi.

    Ngojea nikupe hali halisi ya ulimwengu.

    low income > dola 15,0000 per yr.

    middle income 16,000 > dola 99,0000

    higher income people more than dola $100,000

    Sasa niambie ni watanzania wangapi wana fall into each category above? Mbongo anayesoma na kufanya kazi US easy kwa mwaka ana make more than 16,000. Kwa hiyo ameshakua middle income. Lakini ni wangapi TZ wanalipwa hivyo? Kazi nzuri sana na vyeo kibao na briefcase mkononi lakini ni wangapi wanatengeneza $15,0000 ni wachache sana tu. Tuache show off na tuelewe ukweli wa maisha yetu na ya ulimwengu. Ndio maana kila siku tunakua chini sana kwa ulimwengu kwa vile bongo ni wachche sana wanaoishi lakini wengine wanasindikiza wenzao tu

    ReplyDelete
  57. micguzi kwa nini hautoi comment zetu sasa unampango gani unachagua comment

    ReplyDelete
  58. ATA MIMI NAKUHUGA MKONO KWANI MICGUZI HANAHCAGUWA COMMENT.

    ReplyDelete
  59. nampa pongezi huyu phatlorenz kwa comment yake.watu wivu tu umewajaa kwenye hii blog hata michuzi wewe mwenye blog wanakutukana na kwanini unaweka comment zao especially huyo wa kwanza u shud just delete them.michu keep showing us the reality of things. hamuwezi jua huyo davis mosha ka struggle vipi mpaka alipofika hapo kwa hiyo hata akiamua kununua ma lambroghini,porshe ni pesa yake na nyie wenye wivu mlikuwa wapi wakati mwenzenu anasota so all u jealouse people shut up and walk or if you have cars shut up and drive.

    ReplyDelete
  60. wabongo wenzangu kwanza kabla uja coment kubali home is home na vile vile michuzi anania njema nasi kwamba maisha sio ulaya tu ndio maana hata tukifa tuna pelekwa bongo na wazungu wanatubania siku hizi atuna samani kwao wengine tumeisha uku atuna hata jinsi yakurudi home hatukusoma hatuna vyeti na pass hatuna nakama mtu anatesa home ndio mjanja hizi nyumba za mabox huku sio zetu natutaishia kulipa mpaka tunakuwa wazee kama unapata nafasi home hata kama unapiga nipoa kwani una kua poa wenzetu texas wapo wapi walio wapiga wazungu wengine wamekimbilia bongo pamoja nakwamba hamna umeme wala barabara wapo bongo wana hanza moja wamechelewa tukubali matokeo sio kila kitu tusiki mwindi wacha mambo ya magari huyo bwana kama ni davis mosha mambo yake yupo juu sio jana wala leo na mfahamu mimi na wala haringi hivyo mnavyo fikiri na ulaya yote anaijua na kama ni nyumba uliza kwanza upate jibu hapo dar na kijijini kwao amefanya nini na ni mtu wa michezo ndio mkurungenzi wa moro unted na yanga pia ana endesha magari ya mashindano nenda stado rally team web sio kama namfangilia lakini yupo juu but tukumbuke maendeleo ya nyumbani yanaletwa na sisi wenyewe si wazungu bongo now new york jitahidi hurudi kidogo uchungulie kama utataka tena ulaya lakini najua una karatasi utaondokaje?tuendele kuumia tu ulaya mimi na mind sana bongo

    ReplyDelete
  61. watu mlio bongo ndo mna chuki na watu walio USA . '
    HapO juu kuna mdau toka Helsinki kajibu kuwa hizo gari huko anakoishi ni teksi toka airport.

    UKWELI UNAUPATA KUTOKA PANDE ZOOTE DUNIANI, TANZANI TUPO NYUMA .
    KWA NINI UNACHUKIA WALIO USA TU ???

    ReplyDelete
  62. MIMI MTU AKIANDIKA WABEBA MABOKSI TU , INATOSHA KUNIAMBIA KUWA NI MGENI AU MSHAMBA.
    HAKUNA MTU ANABEBA BOKSI, WATU WAPIGA AU WANAKULA BOKSI KWA MAANA YA KAZI ISIYO PROFFESSION .

    TANZANIA IKIWEZA KUWAPATIA BOKSI ANGALAU ASILIMIA 50 YA WANANCHI WASIO NA KAZI ITATUSAIDIA.

    UMASIKINI KITU KIBAYA SANA , BABA YAKO ANGEKUWA AMEWAHI KUSAFIRI MAJUU, UNGEELEWA . SHIDA YA KURITHI UMASKINI .

    ReplyDelete
  63. Kwa ng'mbo sio big deal
    http://www.leasing4u.co.uk/
    unaipata kwa £ 419 kwa month
    na sio very expensive to compare with X5 supercharge range rover or VW toureg
    sasa wabeba mabox wengi tuna afford hiyo sasa nyie wengi mnaowasindikiza wakina davis mta afford? maish huku yamepangika sio huko kunanuka rushwa

    ReplyDelete
  64. Hivi Q7 ataiservice wapi ...

    ReplyDelete
  65. mbona michuzi unapendelea hujatoa comment hata moja yangu ....???????????????? kijana wamaana huyu tuonyeshe anapokaa kwanza na wewe mbona unachelewa hii ndio post yenyewe tueleze bwana nakuomba sana kijana kafanikiwa watu wa ulaya hasira bwana tukubali yaishe kauchinja sana

    ReplyDelete
  66. Duuuu!!!!Chuzi wacha mambo bwana, huyo si wewe?naona umekula kisambusa hapo,mizengwe ya nini bro sema kweli bwana!-mc pales.

    ReplyDelete
  67. Congrats for the gentleman with the Audi for satisfying his dreams etc. Everyone has the right to achieve what they feel will make them happy.

    I have lived more than half of my life away from Tanzania and sorry for those who think that every Tanzanian abroad does manual labor, there are those of us who have achieved a lot and are in good positions. And we don't need to prove it to anyone. But even those doing manual work deserve the praise for they are earning a living and sending money back to those who just seat around and do nothing.

    One thing I can't understand is the jealousy of those at home against those abroad and the disrespect of those abroad towards those at home, to the extend we have started criticizing our country in the process just to prove a point. In the end we all look stupid in the eyes of a third party.

    Some have tried to show the statistics of our country and how poor we are, all to counter attack the Audi owner. Yes we are poor and yes UN reports show us ranked below other countries etc. But the statistics are not always correct.
    There are a lot of beggars and people dying of hunger in places like US,UK etc. Just because they don't show it on CNN or BBC it does not mean it does not exist. For my fellow people living abroad deny this fact if I am wrong!

    They are a lot of opportunities abroad and most of the time you get paid for your effort. We have more access to most of the basic necessities then in the case if we were at home. And yes with your money you can have access to materials things which in the case of TZ one can't do so unless they import. The major difference is that even a "box carrier" abroad can also save and have access to the same Audi second hand or not. In contrast at home, the low income does not allow one to dream of such.


    My brothers and sisters at home, for those of us who have/had the opportunity to go beyond our country's boarders, we have been privileged with practical knowledge of the world that most of you don't have at the moment. Knowledge which unfortunately only few use it for the benefit of those back at home, but the majority for our own interest. At the same we have been deprived the sense of belongingness and we lack that social ingredient that makes a person spiritually complete. It’s easier to ask for food from your neighbor back at home than to know who lives next door of your apartment here abroad.
    Yes materialistic we have the access, but home is home and it’s where we have our family and history. I think if we did not miss it that much we would not be seeking dual citizenship!

    Congrats to you Audi gentleman for a bunch of your fellow countrymen here abroad can only dream of that and only few can do better. It would be interest to see if they can achieve the same if place with the same environment you acquired yours.

    Mr.Issa, nice way to stir up people's passion! I enjoy reading some of the comments on your blog!

    ReplyDelete
  68. SWALI MKEWE ANAENDESHA NINI? COROLLA AU KITCHEN PARTY???????

    ReplyDelete
  69. Hata uwe tajiri kama nani lakini ukiwa Bongo uko Bongo, kwasababu unaishi na ule mfumo wa umasikini na rushwa. uko katikati ya umasikini

    ReplyDelete
  70. Hilo gari huku wanatembelea wauza pizza na wajenzi,.. te te eeeeeee!!!!!!!

    ReplyDelete
  71. JAMANI TUACHE MAJUNGU TUKUBALI KUWA JAMAA ANA MCHUMA WA ADABU MAANA HAO WA NURSING HOME AU WAUZA PIZZA WAMELIPA IN FULL??????????? KAMA JAMAA? SIO TUNAPONDAAAA TU WAKATI REALITY NI KWAMBA WAKIMISS SOME PAYMENT WANANYANG'ANYWA MAGARI
    KAKA SIKUJUI BUT BAKORA UMETUCHAPA NAAAAAAAAAAAAAAM NIMEKUBALI

    ReplyDelete
  72. lol, these are the things that makes your blog interesting, i mean the comments. Anyway, congrats to you Michu, the dude with audi and all the bloggers all over the world. I got nothing but love for you all, lol

    ReplyDelete
  73. Michuzi, kila mara unatangaza ukipamba ki-“public relations”, kama ulivyofanya katika “caption” ya picha hii: “si lazima uwe ughaibuni uishi maisha tambarare...”

    Huna haja ya kuwa “psychoanalyst” kuweza kubaini kuwa wewe Michuzi na wengi humu bloguni mnajenga ka-tabia ambako ni very “debasing”, ingawa mmojawetu, Bart Simpson, kakwambia, "Mr.Issa, nice way to stir up people's passion!"

    Hivi kwa nini mnaonekana kuwa mna-“suffer from acute inferiority complex”?

    Nimewahi kushauri hapo juu:

    “Wewe m-Tanzania wataka kumkoga nani? Kwanza hivyo hatuvitenegezi!

    “Mara plazma, mara kiselula kidogo zaidi ya mwingine, mara sijui nini!!!!!!!!

    “Vya kisasa, vya kisasa! Vya kisasa, vya kisasa!Vya kisasa, vya kisasa!Vya kisasa, vya kisasa!Vya kisasa, vya kisasa!Vya kisasa, vya kisasa!

    “Kila siku vyabuniwa, vyagunduliwa na vyatengenezwa!”

    Tuachane na maendeleo yenye kujenga matabaka na kuyapigia madebe matabaka yanayozaliwa. Tuliipinga siasa na sera ya “apartheid” huko kwa Kaburu.

    Tujihadhari sana tusiizalishe siasa na sera hii Tanzania kupitia mlango wa nyuma.

    Tuzingatie ni wangapi huko vijijini wanaweza kuishi maisha kama hayo ya Dar es Salaam “tambarare”!

    Hivi vya kisasa ni “very enticing”. Maisha ni kama mchezo wa “drama” au kuigiza. Kila mtu nataka kukoga.

    Kuna ukumbi wa mbele na nyuma. Kila mmoja nalilia kuwa mshiriki ukumbi wa mbele (frontstage).

    Kama mtu akivi-“dangle in our eyes” hivyo vya kisasa sana, tutavikimbilia ili nasi tutawale “the frnotstage” bila kuachwa kwenye mataa ya huko nyuma (backstage).

    Michuzi, haya ya kila mara….“si lazima uwe ughaibuni uishi maisha tambarare...oh, Dar ni kama ughaibuni…kibopa, na kadhalika!

    Tanzania ni nchi maskini kupindukia ndio maana hata viongozi wameona ni afadhali kuushinda kwanza umaskini ki-binafsi na kujiingiza katika mitego ya rushwa na ufisadi hata wa kuuza nchi, kama Rioba, “inter alia”, alivyoandika:

    “Today’s world order is so tempting. Having realized that poverty is not something they can solve so easily with insufficient taxes and donor funds, most leaders in today’s Africa are resorting to solving their individual poverty first. That is why everyone joining politics would wish to own a gold mine, a forest somewhere, a public parastatal on sale, or anything valuable. While the scramble for personal poverty alleviation (PPA) continues among those in political positions, infrastructure remains neglected, structures and systems get loose, corruption becomes the order of the day and poverty continues to bite the poor majority.”

    Ikiwa hayo ya Dar ni “tambarare” hivyo, basi kila Mtanzania anayapenda. Wengine tutajaribu kuuza madawa ya kulevya, kubomoa mabenki, kupora fedha za mishahara ya watoa jasho Watanzania wenzetu, kuiba vya umma na kuviuza (kwa mfano, madawa ya hospitalini” rushwa, kuua wazazi wetu matajiri wanaotuzuia tusivi-“enjoy”, na mengi ya ufisadi, ili tuonekane kuwa nasi tumefika!

    Turidhike tulivyo navyo! Kamwe hatuwezi kushindana kwa kukoga na kipya cha leo na kudharau cha jana huku tukitoka na mate ya kwa cha kesho. La sivyo tutaishi maisha ya “virtual mirage”!

    ReplyDelete
  74. Bart Simpson nimependa uliyo yasema inaonyesha una hekima sana.
    Sipo ipande wowote lakini Mshikaji amejitahidi kumiliki hiyo gari maana niyake na hadaiwi juu ya gari hiyo. Sasa mnoa sema kuwa nigari ya bei rahisi hata manesi na wauza pizza wanaweza kuwa nazo nisawa but wewe unalo na jee hudaiwi?

    Acheni upuuzi mlio njee kuponda kwenu sasa hata kama kuna lami kuna magorofa na magari mazuri wewe unamiliki yapi kati ya hayo na hao wenye hizo mali wanakuchukulia wewe kama nini? Au niwafanyakazi wa bei rahisi?

    Mwingene anaongela mavazi suruali imekaaje acha ushamba mavazi uwamuzi wa mtu. Hata jakipaki CCM ila ukweli utabaki gari ni yake wewe unapaki wapi kwako au nyumba ya kupanga? mwingie anasema Kobe kamnunulia mkewe gari ya $400,000 sijui sasa wewe huoni kama unafananisha usingizi na kifo? Wewe je uliye huko unaweza nunu hilo au unaonge tu. Au wewe starehe yako kikuyaona na kupita kwenye magorofa makumbwa na mahoteli makubwa ambayo huwezo hata wa kuingia huna? Hahah kuna mmoja yeye kajisifu kwa kuyakodi tu kweli mtanzani habadili wanaakili za zamanini eti anajisifu kukodi haha mbona kila siku naendesha renge (Sport house) ila niyabosi wangu. Sasa namimi nijisifu

    Jitu linafanya kazi ulaya thn anataka maendeleo yatoke Tanzania akili au matope. Ulitaka nani ukuletee maendeleo kwenu? Nyie kaeni na ulaya yenu na sisi tukae na Tanzania yetu vumbi mitaro hakuna, maji machafu, hakuna maji hakuna ila tunaisha kwa amani tu.

    Hata kama kaiba kapokea rushwa mwizi ndio maisha yake aliyo changu na hajakamatwa kwahiyo anajua kucheza karata njoo na wewe uibe basi. Mbona nyie wengine visa zimesha isha lakini mpo huko si wizi huo? Kila mtu anaiba ila tunatofautiana vyakuiba. Hahaha sasa wewe unasafisha vibibi utaiba nini labda maua

    Je wewe unaye sema kuwa wapo wenye magari mazuri na maisha mazuri huko hatukatai ila angeweza kuwa nayo akiwa hapa? Sidhani ndi maana kaka misupu kaamua kutuonyesha kuwa japo mazingira ya kupata mafanikio hapa nimagumu ila wapo watu wenye mafanikio pia bila kujali kaiba rushwa ilimradi analo.

    ReplyDelete
  75. Hey Yoo, U looking good brother. ooh well someone got to represent. it happened to be U. The[3 big more] more money more problem more haters. what can u do. I am loving it Muahh. Ciao TTYL :)

    ReplyDelete
  76. TATIZO KUBWA LA WABONGO NI ROHO MBAYA, HATA SIKU MOJA HATUPENDI KUMUONA MTU KAPATA BILA KUFIKIRIA KAFIKAJE ALIKO MTU ANAANGALIA NJIA YA MKATO YA KUMTEREMSHA ILIMRADI WAONEKANE WAKO SAWA, ATUBADILIKI KIFIKRA ZAIDI YA KUBADILIKA MAVAZI TUU NA STYLE ZA MAISHA TUWAPO NJE. UJINGA HUU KWENYE NYEKUNDU TUKUBALI NI NYEKUNDU SI KUNG'ANG'ANA TUU OOOH NYEUSI HAISAIDII... BIG UP DAVIS NA MTAKOMA MKIRUDI VIWANJA VIKO MSATA KOTE TUMEJENGA

    ReplyDelete
  77. Gari zuri.Je tumefikia wapi na mgao wa umeme?Ni watanzania wangapi wanapata maji ya bomba au hata ya kisima nje ya nyumba bila mbinde?!Maswali ni mengi sana sema haya mawili yatosha kwa leo.Kabla ya kuongea juu ya maisha tambarare tuangalie asilimia kubwa ya watanzania inaishije.

    ReplyDelete
  78. Anony wa Saturday 4:37 pm
    Duh shule inakusaidiaje? sasa hayo yanahusiana nini na jamaa na mkoko wake? kwani huyu ndio Rais au Waziri wa Maji, hizi ni juhudi binafsi haimuhusu au ulitaka auze gari achimbe visima?
    Hoja yako ni ya msingi lakini inahusiana na gari ya jamaa? Kaa chini ....Mbunge mwingine maswaaaaaaaaaali!!!

    ReplyDelete
  79. Huyu jamaa alitaka kuweka Biashara yake ijulikane.Haonekani kuwa mtu wa kuonyesha maisha ni tambarare kama ukiendesha Audi, ndio maana hiyo link iliongezwa baada ya waonsha vinywa kutoa mawazo yao

    ReplyDelete
  80. Michuzi, watu tunatoa ushauri mzuri kwa jamaa kuhusiana na website yake kua ina spelling mistakes na links hazijaunganishwa vizuri ila wewe huzi display humu. Au hutaki rafiki ako "tajiri" aonekane hajui kiingereza?

    ReplyDelete
  81. Sasa na wewe unasema huyo jamaa ameweka picha ili biashara yake ijulikane una maana gani..yaani sisi wana blogu hapa tuna visima vya mafuta au tunahitaji hizo cranes za kazi gani? HUKO NI KUJIONYESHA TU. Kwani ninyi mnaolinganisha majuu na Tz. Tanzania ina viwanda vya plasma na magari? au ninyi ni kuwapa wenzenu tu utajiri? na kama alivyosema jamaa hapa website ya jamaa ina makasoro mia..shida nyingine..ni watanzania wangapi wana hizo computer na internet ambayo siajabu yeye mwenyewe nyumbani kwake hana mpaka aende internet cafe au ofisini ndo anaiona na kufungua faili moja mpaka asinzie kwenye kiti...maendeleo yako majuu..sisi wasindikizaji tu hapa bongo..ninyi mliokosa visa za kwenda majuu ndo midomo juu juu....kelele nyingi? Nani anayeweza kumtumia ndugu yake dola 2000 kule kijijini? Nani anayeweza kumnunulia mzazi wake ticket akatanue majuu wakati yeye mwenyewe hajafika....majuu majuu tu..!!

    ReplyDelete
  82. Wewe Karigabagaho unayesema majuu ni kama bongo...unaumwa kichwa..unadhani majuu wako interested na magari..hayo wamewaachia ninyi waafrika mnaoridhishwa na vitu vya kijinga...angalia wenzetu wako interested na future...na research na mazingira na exploration...sisi makarigabagaho wa bongo..Audi..upuuzi gani huo...hatujui hata what it takes kutufanya tusitegemee mvua kwa chakula..angalia hii link ndo utaona kuwa wenzetu wanafikiri mbali...I hope you have a high speed internet itakayo kuruhusu kuangalia hii link maana ina video..bongo bwana...haya check this out..michuzi na wewe angalia ujionee wenzetu wanavyoona mbali..!!
    http://www.cbsnews.com/sections/60minutes/main3415.shtml

    ReplyDelete
  83. Kweli nyumbani maisha ni safi,nikirudi Tanzania naendesha Range Rover kwavile ndio napenda.
    Hapa naishi Norway,sina gari kwakuwa kuna usafiri mzuri wa matreni na mabasi nawarahisi.Siajabu kumwona hata waziri wa nchi akiwa asubuhi kwenye train,vile pia najua Bongo ni nyumbani namimi najumuika kwa usafiri huo sio kwasababu siwezi pata gari yoyote nitakayo*naweza kodisha au kukopa ni kanunu,lakini lengo langu sio maonyesho ni kufika ofisini kwangu na kufanya shughuli zangu.

    Maendeleo sio gari zuri tu,ni pamoja na afya bora,elimu nzuri,amani,miundo mbinu mizuri na mambo mengine kama hayo.

    Tunafurahi kuona Tanzania watu wanafanya vema,tutafurahi kuona elimu inatolewa pia vizuri na wanafunzi pamoja na WALIMU hawachapwi viboko.
    Na kama huko nyumbani mmeendelea JE MMEACHA KUNYA NJIANI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...