Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Duh Kipanya na Ben mpaka kieleweke wallah.

    ReplyDelete
  2. Michu tutake radhi wamakonde huko tunakuita NNTUWAALA siyo Ntwala

    ReplyDelete
  3. Michuzi hizi katuni unafinya sana maneno haionekani, ongeza ukubwa wa maneno kama katuni za Saidi tuone wadau wako, au mwenzetu una miwani?

    ReplyDelete
  4. Michuzi kweli bwana namuunga mkono huyo anony hapo juu. Picha hii tofauti na nyingine hata ukiizum au kuienlaji haizumiki wala haienlagiki.
    Maneno tunashindwa kusoma wakati ujumbe wenyewe uko kweny hayo maneno ambayo hatuwezi kuyasoma.
    hebu rekebisha hilo tuweze kusoma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...