Home
Unlabelled
tutapona?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watanzania hapa ndo pakutafutia sifa. Wao kwani walianzaje, si kama sisi tu na kwenye mashindano hakuna mkubwa wala mdogo cha msingi ni timu na wachezaji wetu kujiandaa kwa moyo mmoja ili kupigania soka ya bongo. Hapa lazima tuwe ngangari ama sivyo tutapigwa mabao mpaka tukiona cha mtemakuni. Naomba kuwasilisha hoja.
ReplyDeleteNdugu Wadau. "Amini Usiamini Katika Nchi hizo zote nchi amabayo Kutokana na Taarifa za FIFA za hivi karibuni Nchi amabayo soka lake linakua kwa haraka na kwa hivyo inaogopewa na nchi nyingine zote Africa ni Tanzania. Na kama ingekuwa Nchi yenye Historia ndiyo itakayo shinda bila shaka kusinge pangwa mechi yeyote ile. Tusubili Majibu...."
ReplyDeleteHILI KUNDI NI ZURI NA BILA YA WASI
ReplyDeleteTUNAWEZA KUONESHA MAAJABU
MTANZANIA KUTOKA MASOMONI INDIA
hivi hawa cameroon wana tafauti gani na senegal au bukina si tushakula nao sasa nini wale woote wenye mawazo ya kizamani kuwa hatuwezi wasichangie hapa nazani ni furaha kuwafahamu maadui zatu mapema ili tupange mikakati kama sisi kama wao
ReplyDeletestars wamekuja hao wenyewe mmoja mmoja tutamchinja
Ghana ilinuka lakini Sauzi kulaleki lazima twende mwanangu.... Maximo jitume na vijana..... Kwenye kundi hapo ni Cameroon tu ndio naona kidogo mchosho lakini wengine hao wallahi ni bwerere kinomaaaa...
ReplyDeleteMungu Ibariki Tanzania na watu wake...
daah wangetutolea hao cameroon
ReplyDeleteMshindi wa kwannza kwenye kundi anaenda world cup.
ReplyDeleteMshindi wa pili kwenye kundi anaenda Africa Cup of Nations 2010 Angola.
Sasa Wa-TZ wenzangu safari ya Angola tunaiona kabisa ipo hapo 2010. (Huyo Cape na Mauritius tunachakaza tu)
Senegal tulitoa naye draw pale kirumba. Hivyo Cameroon asiogopwe.
Go go go Tanzania AFCON 2010 and World Cup.
Hilo kundi tushindwe sisi tu. Cameroon maji marefu ingawa tunaweza kuambulia draw nyumbani after all walifungwa na equatorial Guinea ugenini na wakaifunga Rwanda kwa tabu 2-1 mechi ya pili nyumbani. Cape Verde kwenye Fifa rankings ni ya 112, Mauritius ya 161 sisi wa 103. Kwenye qualifying ya Ghana timu hizo mbili zilishika mkia kwenye group zao ila Cape Verde inaonekana ngumu kidogo ikiwa nyumbani maana haikufungwa hata mechi moja hapo ila ilifungwa mechi zote ugenini. Kundi hili lilikuwa na Guinea, Algeria na Gambia pia. Mauritius ilipata sare mbili tu nyingine zote ikafungwa na ilikuwa kundi moja na Sudan, Tunisia na Seychelles. Nafasi ya kuingia second round tunayo kubwa kama moja ya timu nane bora zitakazoshika nafasi ya pili kwenye makundi labda tuchemshe wenyewe.Uwezo tunao, sababu tunayo na nia tunayo...
ReplyDeleteWADAU HII SASA INAKERA,ALIYEPOST HII KWA NINI BENDERA YETU KAIWEKA KICHWA CHINI MIGUU JUU?NA WEWE ISSA HUKUNOTICE HILO?
ReplyDeleteastagafulahi,,msalie mtume tumekwisha......
ReplyDeletekasera
kansas city
Mshindi wa kwanza ktk kundi haendi World Cup moja kwa moja jamaa anachanganya watu hapo juu!! Mshindi wa kwanza wa kundi kwenye makundi 12 na mabest runner 8 kutoka makundi, wote wataingia raundi ya pili ambayo kutakuwa na timu 20 ambazo zitakuwa kwenye makundi matano ya timu nne kila moja, mshindi wa kundi anakwenda Sauzi.Safari hii tumepewa nafasi 6 jumlisha na Host South Africa!!
ReplyDeletehaki ya mungu tena siamini km tumeenda SOUTH...manake hili kundi ni mchekea ni hakuna mfano!!! huyo cameroon kwao draw kwetu mbili kavu atake asitake!!!
ReplyDeleteHili kundi ni gumu, kwenye mpira wa miguu hakuna kundi jepesi unless kama unapanga timu kwenye karatasi ila uwanjani kila timu ni ngumu. Tuandae timu mapema tuache hadithi nyingi yasije yakatokea ya Ticotico tena!
ReplyDeleteKAMA WAO WAMEWEZA WANA NINI?
ReplyDeleteNA SISI TUSHINDWE TUNA NINI?
LET'S THINK BIG
MAMA F
Mama F, sisi tunashindwa kwa sababu HATUWEZI na HATUTAKI KUWEZA, tumebakia hadithi nyingi na porojo.
ReplyDeleteLA...HAULA..LAKWATA..
ReplyDelete