hatimaye rais mwai kibaki ametangaza baraza la mawaziri kwa watani wetu wa jadi. kwa mujibu wa nation, raila odinga amekuwa waziri mkuu. habari kabili bofya hapa
hatimaye rais mwai kibaki ametangaza baraza la mawaziri kwa watani wetu wa jadi. kwa mujibu wa nation, raila odinga amekuwa waziri mkuu. habari kabili bofya hapa

Nafikiri sasa Odinga karidhika. Manake alihakikisha na yeye anapata kula
ReplyDeleteSi ulaji jamaa anapigania haki ya wakenya.Unashinda Urais halafu watu wachache wanabadili matokeo unategemea nini?hivi kweli kama Kibaki angekuwa kashinda Uchaguzi unafikiri angekubali MSETO la hasha hiyo ni "gulty consious"
ReplyDeleteTwo Genocidal...oooo!!! I'm personally don't like to face those two faces!! they are very worst creature i have witnessed in this millenium, they are evil, watching their tribes killing each other in the name of being who are they today..we cannot afford to ignore their ego and greed.
ReplyDeleteAtleast Zimbabwe they are calm and doesn't believe in Genocide.
Kibaki and Odinga..to be honest..they are not fit for purpose..everyone thought they would stand for their people..but they proved to the universe that they were standinding for their ego and greed and that's why they were achtect of all evils went on on Kenya.
If the World would have been fair, they would be taken off the place and look for others who have no such bloodsucking characteristics and look for atleast someone capable of defending people.
Naionea huruma hiyo kadi ya walalahoi wenzetu. Du! Hiyo kabineti inaniacha hoi.
ReplyDeleteMAALIM ISSA TUMEFURAHI SANA HAWA JIRANI ZETU KUFIKIA .."..MAKUBALIANO..".."..NAONA HAPO WANAPIMA UZITO TAYARI KWA MPAMBANO..".."..HEVI WEITI.."
ReplyDelete