mdau deo mushi wa daily news a-taun katuletea hii ya wanafunzi wa sekondari ya Moita-Bwawani waliondamana leo kudai vyoo na maji shuleni kwao. bongo tambarare....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. KAMA WANADAI VYOO SAA HIZI INA MAANA CURRENTLY WAJISAIDIA WAPI?, NA WANAJISWAFI NA VIPI?.. BONGO TAMABARARE MSEMO WA BRO MITHUPU..

    ReplyDelete
  2. Jamani sisi watanzania ni wavivu sana kama Raisi Mstaafu Mkapa alivyowahi kusema. Sasa vyoo si wachimbe? na maji si wachimbe visima? Yaani hawa ni wakuwachapa bakora haswaa. Pumbafu kabisa nendeni Darasani huko!! wengine hapo mnafuata mkumbo tu, mtakuja juta baadaye.

    ReplyDelete
  3. Anony [mshamba] april 05, 2008 7:02 AM

    Watoto wameenda kusoma au kuchimba vyoo na visima? na hapo hapo unasema nendeni darasani. naona uliandika ukiwa umelewa lakini maneno yako ni ya kipumbavu kabisa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...