WADAU SAMAHANI,
NAOMBA MSAADA WA KUULIZA SWALI KWA WA WATU WANAOISHI HAPA ENGLAND. JE NI CARD GANI INAKUWA NA MINUTES NYINGI ZA KUPIGA BONGO MAANA MIMI NATUMIA TALK HOME LAKINI IMEKUWA YA UWIZI INAKULA MINUTES ZANGU SIMU INAINGILIANA NA WATU WENGINE MSAADA JAMANI
HAWA
HAWA


Kaka pole mimi mwenyewe natumia TALK HOME< ila siku hizi nikitumia kadi nakikisha naimaliza yote siku hio hio maana ukiiacha ilale kila siku inakuwa deducted 3 pence so ukiisahau sana unakuta haina kitu. ila suala la kuingiliana sijakumbana nalo
ReplyDeletetumia MAXITALK ni nzuri kidogo
ReplyDeleteHizi card za simu huwa zina hidden charges so wala hakuna hata moja yenye nafuu. Nafuu kutumia za internet kama yahoo, freewires, na skype angalau kuna ka unafuu!
ReplyDeleteTumia TIGO!
ReplyDeletetry kadi inaitwa "RED" goodluck.
ReplyDeletehawa jaribu lucky ipo red in colour na nyingine ni power...
ReplyDeletepower iko poa ukinunua ya pound tano wanakupa bonus ya card nyingine ya 2.50 pounds..
habari dada hawaa, jaribu kadi inayoitwa action ,ni nzuri na ina dakika nyingi ukilinganisha na tulizozoea.Mpenda amani H.M
ReplyDeletetumia card inayoitwa BLACK.
ReplyDeletemdau sie tunatumia hotshot juu inakuwa kama ina mpira wa miguu,juu imeandikwa £2 ila ni £1 ina dk 25 unaongea bongo,ila ukipiga usikate mpaka mwisho,sumtyms inaenda mpaka dk 36 ila guarantee ni mins 25
ReplyDeleteheko mdau
Tumia africatell, huenda ikawa nafuu
ReplyDeletetumia talk direct
ReplyDeleteTumia mtandao wa CELTEL....kazi kwelikweli
ReplyDeletebt cards au post office cards hizo hazina wizi wa dakika
ReplyDeletetumia tiger wangu ni card poa
ReplyDeleteMimi nawatumia jamaa wanaitwa uni-voip.net. Niko nao zaidi ya mwaka. Ingia http://www.uni-voip.net. Hawali hata dakika..pia wanakupa call records online ili uone simu, muda na gharama yake. Pia wanatoa sms bura na fax. Halafu wana callback service, kama unataka jamaa wa bongo wakupigie unalipa toka huku na jamaa wanapiga toka bongo bila wa kulipa.
ReplyDeleteNi mimi mdau wa UK.
Hello Hawa! Nadhani nilipata same problem wakati nafika mwanzoni hapa UK. Nilikuwa natumia Talkhome, nikatumia unitel, cobra, then RED.
ReplyDeleteNadhani zote zinafana ingawa inategemea unapigia kwenye landline, freephone or payphone.
Mimi natumia land line and mostly natumia RED (200mins), talkhome (170mins) ( sikushauri cobra kabisa kuwapigia machinga wenzangu kule Mikindani.
Jaribu red I guess,
G7
Sheffield
Mdau nashukuru kwa kuuliza hili swali si tu inakula minutes ukiitumia na inaingiliana bali hata usipoitumia kesho yake utaikuta imekula minutes tena.
ReplyDeleteMsaada jamani
TUMIA KILLER
ReplyDeleteJamani kweli kuna watu wana wivu wa maendeleo,jamaa anaomba msaada kwenye tuta namna ya kupata kadi za simu hauweni unamwambia atumie Tigo!!!kweli jamani tutafika kwa msaada huu,jamani tujaribu kuwa na upepo kama huna msaada acha kuweka maoni kwani ni lazima?????kuna mijitu ina kichwa ngumu sana hapa..
ReplyDeletekyekue
Card nzuri ni ACTION ina nembo ya picha ya Bruce Lee au Happy zinatolewa na LYCATEL zina dakika za kumwaga na ikikatika simu halafu ukapiga tena unaanzia ulipoishia.
ReplyDeleteheheheee Kaaz kweli kweli. dada pole. Tumia internet call. Mie natesa na low rate Voip. ndo ipo chini sana na ina viwango vyo kimataifa. dounload kwenye PC yako.
ReplyDeletewww.lowratevoip.com
Karibu kwenye mtandao wa wajanja. Achana na kadi utaliwa pesa zako bure na wala sio dk kama unavyodai.
Hallo Michuzi, nimeona na mimi nichangie kdg hapa kwenye kadi za simu, ukweli ni kuwa kadi za sim ni bomu mno hapa Uk,nyingi kama si zote huwa hawasemi ukweli,watu wengi huko home wanajua kuwa sim ni rahisi sana huku Ulaya, lakini si kweli, sim ni ghali sana hata huku, mtu kutoa pound 5 yake huwa inauma kaka haswa dk zinapokwenda kama maji. Lakini naomba niangalie upende wa pili wa sarafu, viwango vya gharama za sim huko nyumbani (Tanzania) navyo si vya kawaida,kama sikosei kati ya nchi za Africa Masharika Tanzania inaongoza kwa gharama za juu za sim,kadi hiyo hiyo Talk Home, mtani wa jadi (Kenya) ataitumia kwa dakika nyingi zaidi, hivyo hivyo na Uganda, ngoma ni hapo Bongo mara tu "You do not have enough credit 4 this call" Nakumbuka kiongozi mmoja hapo nyumbani, aliwahi kusema Bugeni (Dodoma) kuwa "Watanzania wana sim za mikononi lakini hawazitumii zaidi ya kusubiri kupigiwa" kwa hiyo wakati tunalalamikia swala la kadi za kitapeli Uk, kuna haja pia ya kuiuliza serikali yetu kulikoni iwe kiranja wa gharama za sim katika nchi za Africa Mashariki?
ReplyDeleteJaribu internet calls www.nonoh.net
ReplyDeleteni cent ndogo zana
Tumia Yellow.
ReplyDeleteUNITEL inafaa, inakupa dk mpaka 190, kama ukipiga kwa kutumia namba ya 0207....
ReplyDeleteTumia REDBULL!!
ReplyDeleteTUMIA LEBARA hii ni poa kabisa bingwa wangu.
ReplyDeleteTumia Green Card
ReplyDeleteAngalia wabeba Box wa Uk walivyo mabahili ..hivi hizo dakika mbili ukiliwa zitakupunguzia nini..
ReplyDeletezantek rahisi hasa wikendi
ReplyDelete