WADAU SAMAHANI,
NAOMBA MSAADA WA KUULIZA SWALI KWA WA WATU WANAOISHI HAPA ENGLAND. JE NI CARD GANI INAKUWA NA MINUTES NYINGI ZA KUPIGA BONGO MAANA MIMI NATUMIA TALK HOME LAKINI IMEKUWA YA UWIZI INAKULA MINUTES ZANGU SIMU INAINGILIANA NA WATU WENGINE MSAADA JAMANI


HAWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. Kaka pole mimi mwenyewe natumia TALK HOME< ila siku hizi nikitumia kadi nakikisha naimaliza yote siku hio hio maana ukiiacha ilale kila siku inakuwa deducted 3 pence so ukiisahau sana unakuta haina kitu. ila suala la kuingiliana sijakumbana nalo

    ReplyDelete
  2. tumia MAXITALK ni nzuri kidogo

    ReplyDelete
  3. Hizi card za simu huwa zina hidden charges so wala hakuna hata moja yenye nafuu. Nafuu kutumia za internet kama yahoo, freewires, na skype angalau kuna ka unafuu!

    ReplyDelete
  4. Tumia TIGO!

    ReplyDelete
  5. try kadi inaitwa "RED" goodluck.

    ReplyDelete
  6. hawa jaribu lucky ipo red in colour na nyingine ni power...
    power iko poa ukinunua ya pound tano wanakupa bonus ya card nyingine ya 2.50 pounds..

    ReplyDelete
  7. habari dada hawaa, jaribu kadi inayoitwa action ,ni nzuri na ina dakika nyingi ukilinganisha na tulizozoea.Mpenda amani H.M

    ReplyDelete
  8. tumia card inayoitwa BLACK.

    ReplyDelete
  9. mdau sie tunatumia hotshot juu inakuwa kama ina mpira wa miguu,juu imeandikwa £2 ila ni £1 ina dk 25 unaongea bongo,ila ukipiga usikate mpaka mwisho,sumtyms inaenda mpaka dk 36 ila guarantee ni mins 25

    heko mdau

    ReplyDelete
  10. Tumia africatell, huenda ikawa nafuu

    ReplyDelete
  11. tumia talk direct

    ReplyDelete
  12. Tumia mtandao wa CELTEL....kazi kwelikweli

    ReplyDelete
  13. bt cards au post office cards hizo hazina wizi wa dakika

    ReplyDelete
  14. tumia tiger wangu ni card poa

    ReplyDelete
  15. Mimi nawatumia jamaa wanaitwa uni-voip.net. Niko nao zaidi ya mwaka. Ingia http://www.uni-voip.net. Hawali hata dakika..pia wanakupa call records online ili uone simu, muda na gharama yake. Pia wanatoa sms bura na fax. Halafu wana callback service, kama unataka jamaa wa bongo wakupigie unalipa toka huku na jamaa wanapiga toka bongo bila wa kulipa.

    Ni mimi mdau wa UK.

    ReplyDelete
  16. Hello Hawa! Nadhani nilipata same problem wakati nafika mwanzoni hapa UK. Nilikuwa natumia Talkhome, nikatumia unitel, cobra, then RED.

    Nadhani zote zinafana ingawa inategemea unapigia kwenye landline, freephone or payphone.

    Mimi natumia land line and mostly natumia RED (200mins), talkhome (170mins) ( sikushauri cobra kabisa kuwapigia machinga wenzangu kule Mikindani.

    Jaribu red I guess,
    G7
    Sheffield

    ReplyDelete
  17. Mdau nashukuru kwa kuuliza hili swali si tu inakula minutes ukiitumia na inaingiliana bali hata usipoitumia kesho yake utaikuta imekula minutes tena.
    Msaada jamani

    ReplyDelete
  18. TUMIA KILLER

    ReplyDelete
  19. Jamani kweli kuna watu wana wivu wa maendeleo,jamaa anaomba msaada kwenye tuta namna ya kupata kadi za simu hauweni unamwambia atumie Tigo!!!kweli jamani tutafika kwa msaada huu,jamani tujaribu kuwa na upepo kama huna msaada acha kuweka maoni kwani ni lazima?????kuna mijitu ina kichwa ngumu sana hapa..
    kyekue

    ReplyDelete
  20. Card nzuri ni ACTION ina nembo ya picha ya Bruce Lee au Happy zinatolewa na LYCATEL zina dakika za kumwaga na ikikatika simu halafu ukapiga tena unaanzia ulipoishia.

    ReplyDelete
  21. heheheee Kaaz kweli kweli. dada pole. Tumia internet call. Mie natesa na low rate Voip. ndo ipo chini sana na ina viwango vyo kimataifa. dounload kwenye PC yako.
    www.lowratevoip.com
    Karibu kwenye mtandao wa wajanja. Achana na kadi utaliwa pesa zako bure na wala sio dk kama unavyodai.

    ReplyDelete
  22. Hallo Michuzi, nimeona na mimi nichangie kdg hapa kwenye kadi za simu, ukweli ni kuwa kadi za sim ni bomu mno hapa Uk,nyingi kama si zote huwa hawasemi ukweli,watu wengi huko home wanajua kuwa sim ni rahisi sana huku Ulaya, lakini si kweli, sim ni ghali sana hata huku, mtu kutoa pound 5 yake huwa inauma kaka haswa dk zinapokwenda kama maji. Lakini naomba niangalie upende wa pili wa sarafu, viwango vya gharama za sim huko nyumbani (Tanzania) navyo si vya kawaida,kama sikosei kati ya nchi za Africa Masharika Tanzania inaongoza kwa gharama za juu za sim,kadi hiyo hiyo Talk Home, mtani wa jadi (Kenya) ataitumia kwa dakika nyingi zaidi, hivyo hivyo na Uganda, ngoma ni hapo Bongo mara tu "You do not have enough credit 4 this call" Nakumbuka kiongozi mmoja hapo nyumbani, aliwahi kusema Bugeni (Dodoma) kuwa "Watanzania wana sim za mikononi lakini hawazitumii zaidi ya kusubiri kupigiwa" kwa hiyo wakati tunalalamikia swala la kadi za kitapeli Uk, kuna haja pia ya kuiuliza serikali yetu kulikoni iwe kiranja wa gharama za sim katika nchi za Africa Mashariki?

    ReplyDelete
  23. Jaribu internet calls www.nonoh.net
    ni cent ndogo zana

    ReplyDelete
  24. Tumia Yellow.

    ReplyDelete
  25. UNITEL inafaa, inakupa dk mpaka 190, kama ukipiga kwa kutumia namba ya 0207....

    ReplyDelete
  26. Tumia REDBULL!!

    ReplyDelete
  27. TUMIA LEBARA hii ni poa kabisa bingwa wangu.

    ReplyDelete
  28. Tumia Green Card

    ReplyDelete
  29. Angalia wabeba Box wa Uk walivyo mabahili ..hivi hizo dakika mbili ukiliwa zitakupunguzia nini..

    ReplyDelete
  30. zantek rahisi hasa wikendi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...