Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa ameshikilia Mwenye wa Olimpik mara baada ya kuwashwa kwa mwenge huo katika Uwanja wa Tazara leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Haya kimbizeni Mwenge wa Olympic tena kwa heshima. UK, US and Western Nations in general wanaleta all this huha na China maana wako kwenye scramble for African resources na mambo mengi tu. China is touching kitumbua chao na pia ni tishio katika uchumi wa dunia. Kwani hiyo Tibet problem imeanza leo. If they wanted to deal with this issue wangeanza zamani tu.

    ReplyDelete
  2. Hao walinzi wa Mwenge waliwakomesha sana Waingereza waliokuwa wanataka kuleta fujo. Check walivyo fit.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...