HABARI ZIMEINGIA SASA HIVI KWAMBA TIMU YETU YA TAIFA STARS IMELALA BAO 2-1 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU YA TAIFA YA YEMEN LEO HUKO YEMEN
Home
Unlabelled
stars yalala 1-2 yemen
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I have been into football almost all my life. I am not being racist or anything but I just don't believe Yemen is right place for a football friendly. Next destination? Bangalore? Islamabad? I would go there for cricket - as for Yemen I am not too sure.
ReplyDeleteHaya sasa Maximo sijui atatuambia nini safari hii maana huwa hakosi sababu. basi hata Yemen ? mie naona game zijazo za kirafiki tuombe kucheza na Pakistan, India au Bangladesh. hizo nadhani zitasaidia kidogo kutoa matokeo ya draw.huyu jamaa inabidi tuangalie tena vizuri CV zake pengine alikuwa kocha wa Tandale Rangers ya Rio de janeiro. pale mie nasema hatuna kocha kama karata tumelamba jokeri(joker). mdau Zee la Kitaulo.
ReplyDeleteSitaki tena kusikia huu uchafu wa maximo.Nakumbuka Yemen walichapwa 16-1 na Libya sasa aaaaaaaaaaa confused.Tunajenga aau tunabomoa shhhhhhh.basi bwana huyu kocha i bomux2kabisa
ReplyDeleteNo no!U are missing a point here...hali ya hewa wachezaji hawakuwa wameizoea, hatukuwa na maandalizi ya kutosha, pesa ya kujikimu haikutosha na kamati ya ufundi ilikua na kazi za kiserekali teh teh teh!Na kuhusu kocha nyie vipi?Mnamuonea donge baba wa watu kajipatia ulaji, muacheni jameni riziki ya mtu huwezi kuziba...ha ha ha ha!
ReplyDeleteBonge la "AIBU" Yemen(washihiri) wanatufunga AIBU zaidi habari mumeiweka NDOGO isionekane, tafuteni timu zamaana kupimana nguvu. mmetafuta YEMEN rahisi matokeo yake Mmefungwa hata na YEMEN, AIBUuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!.
ReplyDeleteTumechoka na Timu ya Taifa sasa.
Washika dau wa soka la tanzania mkumbuke kuwa kufungwa au kushuka kiwango cha soka cha taifa star Maxino Hana hasara kwani yeye nchi yake inazidi kupaa ilihali yeye anapata mshahara wake basi.
ReplyDeleteNa nafikiri kwa matokeo kama haya kocha mwenye ushungu na mwenye busara hua anapima mwenyewe je 1.wachezaji hawanielewi?
2.mbinu zangu zimefikia mwisho?
3.Mazingia ya ufundishaji ni mabofu
4.Maslah mabaya
au ni kitu gani haza ukipata jibu unachua hatua mara moja?