JK akiwa na Mtendaji Mkuu wa shirika la CARE International Dr.Helene Gayle(watatu kushoto mwenye nguo nyekundu)akimkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete kitabu kinachohusu uwezeshwaji wa Wanawake(Woman Empowered) wakati yeye na ujumbe wake walipomtembela ikulu jijini Dar es Salaam leo.wengine katika picha ni wajumbe wa Bunge la Marekani, Congress,Bi Lynn Woosley na Bi. Zoe Lofgren.
JK akimwapisha Dr.Thomas Didimu Kashilila kuwa katibu wa Bunge,leo ikulu jijini Dar
JK akimwapisha Jaji Katherine Oriyo kuwa jaji wa Mahakama ya Rufaa leo ikulu jijini Dar. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...