Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. tangazo lenyewe kama uchafu vile.nguzo moja ina rangi nyingine ni just earth color....they could do better

    ReplyDelete
  2. Haya maneno hatua kali zitachukuliwa yalishazoeleka hayatishi watu. Kinachotakiwa ni kutaja kiwango cha faini na kisha kutekeleza. Mfano kule Sengerema Kamanga fery ng'ambo siyo upande wa Mwanza watu walikuwa wanakojoa na kunya popote mwenye ferry akawajenge vyoo wakaendelea hivyo hivyo. Mgambo wakawekwa dizaini ya makachero na tangazo likawekwa ukikamatwa faini yake sh.500. Walipokamatwa watu kadhaa wenginewakatia akili. Isitoshe vyoo vyenyewe vya bure lakini wamatumbi walikuwa wanapuuza. Na kingine kuweka matangazo tu bila huduma haisaidii. Lazima kuwe na mapipa ya kutupa hizo takataka kila baada ya umbali fulani.

    ReplyDelete
  3. Du! mwana ilo tangazo lenyewe uchafu toshaa!

    ReplyDelete
  4. Usafi hauendi kwa amri tu!
    watu inabidi wafundishwe tangu wangali wadogo ili wakue wakijua usafi ni moja ya desturi yao.Iwekwe program kuanzia chekechea nakuendelea ya watoto kufunzwa umuhimu wa usafi na baada ya hapo ndo sheria ichukue mkondo wake.TZ hatuna utamaduni wa usafi na tunadhani usafi ni kuoga na kujipodoa tu au kusafisha nyumba zetu kisha uchafu tunatupa barabarani.
    Mara ngapi mapipa yanawekwa na utakuta mtu katupa taka chini wakati pipa halina kitu? Mtu anakunywa maji kisha chupa anatupa popote apendapo hata kama ndani ya gari kuna mifuko ya kukusanyia uchafu!!!!!!! Ukweli sisi ni wachafu na hatuna utamaduni wa usafi nashangaa tulikuwa wepesi wa kuiga Dini na mavazi ya wageni lakini usafi tulishindwa kuiga!!!Bado utatukuta tunamsema fulani ambae mazingira yake ni masafi "eti anaishi kama mzungu"!!!!!!!!!Aibuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  5. KENS ndio mamlaka gani tena hiyo inayotoa vitisho vya adhabu kali kwa umma?

    ReplyDelete
  6. kiswahili gani hicho

    ATUA KALI ZITACHUKULIWA

    ni ATUA au HATUA???!!

    ReplyDelete
  7. Aya matangazo haina ii ni uchafu mtupu. Budi madiwani wa maeneo ayo wachukuliwe atua kali za kisheria!

    Na tusikimbilie kusema Dar ni chafu kwa sababu wananchi ni wachafu - hawajafundishwa eti. Hii siyo sababu hata siku moja na mimi siikubali kamwe. Mbona tukienda Ulaya hatutupi taka hovyo au kuvuka barabara pasipostahili.

    Weka miundombinu kwa ajili ya waenda kwa miguu ili walazimike kufuata sheria. Kwa mfano, weka zebra crossing mahali panapomake sense, na fanya iwe vigumu kwa mtu kuvukia sehemu nyingine. Vilevile, lipa makampuni ya usafi wafagie routinely - kwanza utaongeza ajira. Usipofanya hivyo na kutegemea busara za wanachnchi ndizo zitapendezesha jiji umekwisha.

    Tusione aibu kuwaiga wenzetu waliokuwa na hii miji tangu miaka elfu mbili iliyopita.

    ReplyDelete
  8. Hilo bango ni uchafu mtupuu, halafu sioni pipa la kutupia taka sasa unataka watu wakatupe wapi takataka?

    ReplyDelete
  9. hata wamuweke mbwa barabarani alinde ukweli ni kwamba USAFI NI TABIA YA MTU,KAMA MTU HAKUZALIWA NA HULKA YA USAFI HUWEZI KUMKUNJA UTUUZIMANI SHOST HABARI NDO HIYO

    alafu sio ATUA ni hatua

    ReplyDelete
  10. hayo mabango pia ni uchafu tosha. ebu jiji badilikieni andaeni mabango ya kisasa ambayo ayachafui jiji. pia mjitaidi kuweka mapipa ya takataka kila mahari ili kusiwepo na kisingizio cha mtu kutupa uchafu ovyo.

    ReplyDelete
  11. guys u are missing the point...hapa mtoa tangazo alitakiwa kuweka pipa la takataka somewhere for ppl to dispose...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...