duka la virago lilolopo namanga ubavuni pa mkahawa wa best bite dar imeshusha mzigo wa nguvu wa nguo, viatu, mikanda na vikorombwezo vingine kibao toka marekani, italy, ufaransa na ureno kwa ajili ya pasaka. nenda mwenyewe kajionee ama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Duka limeenda shule haswa,lakini kwa mimi mlala hoi hizo vbei kwa kweli siziwezi.Hizo bei kwa wenye pesa zao.kama mnavyojua matabaka ya watanzania,wenye nacho wanacho,na wasiokuwa nacho kama sie tutaishia kuangalia tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...