JK akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwaajili ya uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya mtaa katika kituo cha Shule ya Msingi Bunge,kilichopo jijini Dar wikiendi hii. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh. Aggrey Mwanri, Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. William Lukuvi, Meya wa Jiji la Dar Alhaj Adam kimbisa na Karani wa kituo hicho Bw. Issa Kipengule

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mwenye magwanda mbona hujamtambulisha?

    ReplyDelete
  2. HATAMBULISHWI KWA SABABU YEYE NI SEHEMU YA MHE.RAIS.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...