Mh. Prof. Msolla na prof. John Nkoma wakitoa maelezo kwa Mzee jongwe
Robert Mugabe alipotembelea banda la Tanzania. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa ITU Mh. Houlin Zhao
Rais Mugabe akisindikizwa akiwa kazungukwa na ulinzi mkali kuelekea banda la
Tanzania ambako alichagau kutembelea baada ya kuingia ndani ya maonesho.
Ujumbe huu wa Mugabe ulivuta hisia za watu wengi
wakiwemo waandishi wa habari na viongozi mbalimbali.

Mh. Robert Mugabe akiwe saini kwenye kitabu cha wageni
ndani ya banda la maonesho la tanzania

Rais wa Zimbabwe Mh. Robert Mugabe leo ametembelea banda la maonesho la Tanzania kwenye mkutano wa TEKNOHAMA unaoendelea nchini Geneva. Mhe. Mugabe amepokelewa na Prof. Peter Msolla, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

Uwepo wa Mugabe katika banda la Tanzania kumewavuta wadau mbalimbali waliokuwa kwenye mabanda ya nchi zao. Picha na habari na mdau Prisca Jackson, Afisa Habari, Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. jongwe kwa mahesabu...si mchezo!

    kaaamua aende kusalimia mkwe wake.

    si nani hiiiiiii kaolea huko!

    si ajabu hata dada mtu alikuwapo bandani.

    ReplyDelete
  2. Mbona Mzee Jongwe kavaa Scarf iliyoandikwa Ghana? au amehamia huko?Katika Historia ya maisha yake,huyo mzee ana connection na Nchi ya Ghana,Niliwahi kusikia kuwa Mke wake wa Kwanza (RIP) alikuwa Raia wa Ghana hata Mtoto wake wa kwanza alifariki na kuzikwa Accra!

    ReplyDelete
  3. Wadau hii viipi hii??
    Tanzania becomes a donor country; gives Zimbabwe 260m/- as budgetary support





    TANZANIA, which has long been one of the world’s biggest recipients of foreign aid, is now set to become a donor country in its own right - as far as Zimbabwe is concerned.

    The country’s Ambassador to Harare, Adadi Rajabu, has announced a budgetary support package of $200,000 (approx. 260m/-) to be deployed in aiding Zimbabwe’s short-term emergency recovery programme (STERP).

    The support from Tanzania has been availed as consultations continue on Zimbabwe’s 2010 fiscal policy framework, which covers various sectors of that country’s economy.

    Rajabu, was quoted yesterday as saying in Harare- though little when compared to the $1bn required by President Robert Mugabe’s government to resuscitate the economy � is expected to play a role in boosting some important Zimbabwean government projects

    �We are giving the money in relation to STERP and this will compliment what the (Zimbabwe) government is doing to address the macro-economic challenges the country is facing,� said Ambassador Rajabu.

    He appealed to other SADC countries to come aboard and fulfill their pledges to ensure the success of various programmes currently underway.

    �Zimbabwe�s economy is doing well...inflation figures are dropping and commodity availability has also improved although prices are still high,� said Adadi, a former Director of Criminal Investigations (DCI) back home in Tanzania.

    The aid package offered is a fulfillment of Tanzania’s pledge made at the Southern African Development Community (SADC) extraordinary meeting of heads of state and government, held in Mbabane, Swaziland in March.

    This is not the first time the country has extended assistance to Zimbabwe. Last year, Tanzania donated about 40 tonnes of medical supplies to help fight a cholera epidemic in Zimbabwe

    By the way $260m if it is US Dollars then ni over One Third of the US aid to Tanzania signed by Mr Bush and Kikwete when the former visited Tanzania.
    Its like the Radar thing UK aid package was £30million but we borrowed $40m From Barclays to buy an obsolet Radar worth less than $20m.
    We must be loaded if not carzy!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...