Mgombea urais wa CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akihitimisha mikutano yake ya kampeni jijini Mbeya leo. Chini ni wafuasi wa chama hicho na bango lao
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Mgombea urais wa CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akihitimisha mikutano yake ya kampeni jijini Mbeya leo. Chini ni wafuasi wa chama hicho na bango lao
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi ulivyotuhabarisha kuhusu matukio ya mwisho wa kampeni za urais ndio kaida sahihi ya uhabarishaji na ndio tuliyokuwa tukiitarijia katika kipindi kizima cha kampeni. Lakini uzalendo ulikushinda ukashindwa kuzui kuonesha ukereketwa wako. Ukawa unatulisha pumba za kijani tuuuu. Mimi niliacha kabisa kufungua globu yako. Leo umeonesha kuwa kazi unaijua ila tu hukupenda kufanya hivyo. Mdogo wako ni mwanablogu aliyekomaa- yeye aliendelea kubandika matukio kama alivyoyapata na kuacha mamuzi kwa msomaji. Kwa vile kampeni zimekwisha nami ninarejea kuendeleza libeneke kama kawa. Sasa tujadili jinsi dola linavyoendeshwa na faida au hasara katika maisha yetu ya kila siku.
ReplyDeleteNayaona mabadiliko yakija Tanzania. Kama si 2010 basi 2015. Mungu atue uzima tuione Tanzania ikistawi.
ReplyDeleteUongozi ni muhimu sana kwa maendeleo. Rwanda imebadilika sana katika miaka 15 iliyopita. Yote hiyo ni kwa uongozi madhubuti wa Kagame.
Kama tuna ardhi, watu na siasa safi basi nini kimekosekana katika miaka 50 ya uhuru wetu? Jibu: Uongozi bora.
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!! kumbukeni kuna mungu.
ReplyDeleteI hope he wins...good luck and surprise the whole world...
ReplyDeletekwa nini ulitufanya vile mcihuzi? why? ninauchungu sana moyo naulivyo tugeuka
ReplyDeleteanyway hongera sasa umerudi zizini leo hata nimesisimka tulikuwa hatujui pa kupata habari sahihi siku zote uchaguzi ulipokuwa ukikalibia tulikutegemea sana
tunaomba uwe fair unapotoa matokeo plz
sisi huku ng'mbo tunakutegemea wewe
tupe matokeo kadri yanavyo tangazwa na hapo tutakuwa tumekusamee
Du kweli leo uchaguzi yaani mpaka Michuzi umeweka wazi libeneke la CHADEMA NA CUF badala ya kulalia upande wa CCM? Nakupongeza kwa hilo. Ukifanya vyema nakupongeza ukileta za kuleta nakupa ukweli wako kama kawa
ReplyDeleteKuna mchanganyiko wa unafiki na ukada!! Ni kama gazeti moja hapa nchini lililojitokeza mwishoni kuelezea kuwa ni mbadala wa Uhuru!! Likishitakiwa kwa utapeli liko tayari kulipa fidia!!
ReplyDeletehongera michuzi,hata kama ulikuwa biased...watu walikuonakule mtwara upo ndani ya ''PRESS KIKWETE'' ...hukusoma alama za nyakati hata kama ulikuwa unakataa..nimerudi tena blogin kuendeleza libeneke..ila ungeendelea na ukijani wako usingenona kamwe huku ...nitabp bp kuona unaendeleza vipi tz ya leo
ReplyDeleteMichuzi , me sikupendezwa na Unazi wako wa Kijani na Njano, nika comment ukanibania. Nilikuja kujua baadae kuwa ww ni kada wa Thithiemu, nikaona nisikulaumu. Hongera kwa kurudi kwa wanajamii sasa
ReplyDelete