JK akipanda jukwaani kwa mbwembwe huku akicheza 'kiduku' kabla ya kuhutubia mkutano wake wa mwisho wa kampeni viwanja vya jangwani jijini Dar leo
JK akimpa mkono mai waifu wake Mama Salma Kikwete baada ya kuhutubia huku mgombea mwenza Dk. Mohamed Ghalib Bilal, Katibu Mkuu wa CCM Mh. Yusuf Makamba, Makamu wa CCM (Bara) Mh. Pius Msekwa na marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mh. Benjamin Mkapa pamoja na Waziri Mkuu mstaafu Mh. Joseph Sinde Warioba wakisubiri zamu zao








Huyu Mkapa inabidi afanyiwe japo a little bit of manual ENEMA angalau uzito upungue japo kwa chaaaati!
ReplyDeletemabunjuu kibao humu hali ya TANZANIA THEN NIICHAGUE CCM NIACHEEEEE
ReplyDeleteWewe Michuzi,hata ndani chama chenu unabagua?au kamera mnazotumia hazikamati sura ya Mzee wa ruksa?alikuwepo jangwani ila naona kwenye globu yako sura yake haipendezi sawa tu na sura za cuf.
ReplyDeleteMaana hata Lipumba sijaona picha zake za kampeni,ulzoweka juzi ni watu tu,oooooooooh michuzi uzalendo umekushinda hasa kipindi hiki cha uchaguzi,aibuuuuuuuuuu
Hii haifai kuitwa eti glob ya jamii,hii ni glob ya ccm
Tumeshawajua mnachakachua hadi picha, hamfai kabisaa
ReplyDelete