JK akipanda jukwaani kwa mbwembwe huku akicheza 'kiduku' kabla ya kuhutubia mkutano wake wa mwisho wa kampeni viwanja vya jangwani jijini Dar leo
JK akimpa mkono mai waifu wake Mama Salma Kikwete baada ya kuhutubia huku mgombea mwenza Dk. Mohamed Ghalib Bilal, Katibu Mkuu wa CCM Mh. Yusuf Makamba, Makamu wa CCM (Bara) Mh. Pius Msekwa na marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mh. Benjamin Mkapa pamoja na Waziri Mkuu mstaafu Mh. Joseph Sinde Warioba wakisubiri zamu zao
Meza kuu ikimpongeza rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa kwa hotuba iliyotukuka
Rais Benjamin Mkapa akihutubia
Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa akiwa na mawaziri wakuu wastaafu Dk. Salim Ahmed Salim, Mh. Joseph Sinde Warioba na Mgombea mwenza wa JK , Dk. Mohamed Ghalib Bilal
waangalizi toka ofisi ya Kimataifa ya nchi za Maziwa Makuu (ICGLR)
JK akilakiwa kwa nderemo alipowasili Jangwani
Nyomi haikuwa ya kawaida Jangwani leo
Sehemu ya nyomi ya CCM Jangwano leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyu Mkapa inabidi afanyiwe japo a little bit of manual ENEMA angalau uzito upungue japo kwa chaaaati!

    ReplyDelete
  2. mabunjuu kibao humu hali ya TANZANIA THEN NIICHAGUE CCM NIACHEEEEE

    ReplyDelete
  3. Wewe Michuzi,hata ndani chama chenu unabagua?au kamera mnazotumia hazikamati sura ya Mzee wa ruksa?alikuwepo jangwani ila naona kwenye globu yako sura yake haipendezi sawa tu na sura za cuf.
    Maana hata Lipumba sijaona picha zake za kampeni,ulzoweka juzi ni watu tu,oooooooooh michuzi uzalendo umekushinda hasa kipindi hiki cha uchaguzi,aibuuuuuuuuuu
    Hii haifai kuitwa eti glob ya jamii,hii ni glob ya ccm

    ReplyDelete
  4. Tumeshawajua mnachakachua hadi picha, hamfai kabisaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...