Staili ya kumaliza mkutano kwa mgombea wa urais kupitia CUF, Profesa Ibrahim Lipumba , kama alivyoonesha leo mjini Morogoro kwa kusema ' kwishaaa'.. Baadaye alirejea Dar na kumalizia kampeni katika viwanja vya Mwembe Yanga
Manjonjo ya mashabiki wa CUF Wilaya ya Morogoro Mjini , wakati wa ujio wao wa Mgombea Urais, Prof Ibrahim Lipumba

Viongozi wa wanawake wa CUF ngazi ya Wilaya ya Morogoro na Taifa wakimsikiliza mgombea urais, Profesa Ibrahimu Lipumba leo
Wanachama wa CUF Wilaya ya Morogoro mjini, wakiuza skafu za chama hicho kwa wanachama na wapenzi wa CUF Mjini Morogoro leo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii imenifurahisha kuona skafu zinauzwa kwa wanachama na wasabiki wa CUF badala ya kuzigawa bure. Anayenunua anaonesha dhamira ya kweli ya uanachama au ushabiki wa chama hicho. Huu ni ukomavu wa demokrasia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...