Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kevin O'flaherty akiwa na mkewe katika mashindano ya mbio za kutembea za KM 9 zilizoandaliwa na Rotary Club of Dar es Salaam, kwa ajili ya kuchangia fedha za kusaidia miradi ya maji katika shule za Dar es Salaam. Mbio hizo ambazo mgeni rasmi alikuwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi zilianzia na kumalizia katika viwanja vya bwalo la maofisa wa Polisi, Dar es Salaam jana.TBL ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa mashindano hayo.
Ofisa Mtendaji wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Justin Geyve (kushoto) na Simon de Roy wa Kampuni ya Platinum, wakishiriki katika katika mashindano ya mbio za kutembea za KM 9 zilizoandaliwa na Rotary Club of Dar es Salaam, kwa ajili ya kuchangia fedha za kusaidia miradi ya maji katika shule za Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...