Home
Unlabelled
meli kubwa ya kivita toka china kutia nanga Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MELI KUBWA YA KIVITA KUTOKA CHINA KUTIA NANGA DAR...So what, tuogope tujifungie majumbani?
ReplyDeleteAnkal napenda kusahihisha huyo mwandishi wa maelezo hiyo si meli kubwa ya kivita. meli hiyo inafuata maelekezo yote ya geneva kuhusu hospitali za kutibia watu wa kawaida. Ni hospitali ila inamilikiwa na jeshi la China.kuna tofauti kubwa kati ya meli ya vita na meli ya kawaida. Ni kweli ni meli kubwa inavitanda vingi na pia vyumba vya upasuaji vinane. Unaweza kupata habari zaidi lukwangule blogspot au Xinhua
ReplyDelete