Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Liu Xinsheng(katikati) akitangaza mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) ujio wa Meli ya Kivita ambayo inatumika kama Hospitali leo jijini Dar. Meli hiyo itaanza kutoa huduma za afya kwa baadhi ya wananchi wa Tanzania kuanzia tarehe 19-10.2010 hadi 24.10.2010. Wengine ni Naibu Mkuu na Mshauri wa Masuala ya Siasa katika Ubalozi Fu Jijun(kulia) na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Sozy Mahmoud (kushoto).Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MELI KUBWA YA KIVITA KUTOKA CHINA KUTIA NANGA DAR...So what, tuogope tujifungie majumbani?

    ReplyDelete
  2. Ankal napenda kusahihisha huyo mwandishi wa maelezo hiyo si meli kubwa ya kivita. meli hiyo inafuata maelekezo yote ya geneva kuhusu hospitali za kutibia watu wa kawaida. Ni hospitali ila inamilikiwa na jeshi la China.kuna tofauti kubwa kati ya meli ya vita na meli ya kawaida. Ni kweli ni meli kubwa inavitanda vingi na pia vyumba vya upasuaji vinane. Unaweza kupata habari zaidi lukwangule blogspot au Xinhua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...