Mwanamuziki wa kimataifa kutoka nchini Mali,Salif Keita akipagawisha mashabiki wake katika katika onesho lake lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Movenpick jijini Dar.wengine ni waimbaji wa bendi yake.
Mwanamuziki Selif Keita kutoka nchini Mali akiwa na watoto Ahmed kulia na Abdurahim kushoto ambao ni walemavu wa ngozi kama yeye.
Mwanamziki Keisha (kushoto) akiimba pamoja na Amina kabla ya Nguli wa muziki kutoka nchini Mali, Selif Keita kupanda jukwaani.
Mashabiki wa mwanamuziki huyo wakifuatilia kwa karibu onesho lake usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Movenpic.
Jimmy Kabwe (pili shoto) ambaye ndiye aliekuwa MC katika onesho hilo akiwa na waimbaji wa mwanamuziki Selif Keita kabla ya kupanda jukwaani tayari kwa kufanya mambo makubwa kutoka Afrika Magharibi kushoto ni Aminata Doute, Bah Kouyate na Harouna.Picha na Full Shangwe Blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nazimia sana kazi za huyu Nguli!

    ReplyDelete
  2. Gud 2 c u Jimmy, looking good!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. Hi Jamani naomba kuelimisha...Hivi kiswahili sanifu ni "Onesho" au "Onyesho"? Nataka tu kujifunza hamna beef wala nini. Asanteni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...