Mwanamuziki wa kimataifa kutoka nchini Mali,Salif Keita akipagawisha mashabiki wake katika katika onesho lake lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Movenpick jijini Dar.wengine ni waimbaji wa bendi yake.
Mwanamuziki Selif Keita kutoka nchini Mali akiwa na watoto Ahmed kulia na Abdurahim kushoto ambao ni walemavu wa ngozi kama yeye.
Mwanamziki Keisha (kushoto) akiimba pamoja na Amina kabla ya Nguli wa muziki kutoka nchini Mali, Selif Keita kupanda jukwaani.
Jimmy Kabwe (pili shoto) ambaye ndiye aliekuwa MC katika onesho hilo akiwa na waimbaji wa mwanamuziki Selif Keita kabla ya kupanda jukwaani tayari kwa kufanya mambo makubwa kutoka Afrika Magharibi kushoto ni Aminata Doute, Bah Kouyate na Harouna.Picha na Full Shangwe Blog


Nazimia sana kazi za huyu Nguli!
ReplyDeleteGud 2 c u Jimmy, looking good!!
ReplyDelete(US Blogger)
Hi Jamani naomba kuelimisha...Hivi kiswahili sanifu ni "Onesho" au "Onyesho"? Nataka tu kujifunza hamna beef wala nini. Asanteni
ReplyDelete