LEO NDIO SIKU MAMA YA DEMOKRASIA NCHINI TANZANIA AMBAPO WANANCHI WATAPIGA KURA KUCHAGUA MADIWANI, WABUNGE NA RAIS WA KUTUONGOZA KWA MIAKA MITANO IJAYO. GLOBU YA JAMII INAWATAKIA WATANZANIA WOTE UCHAGUZI MWEMA NA WA AMANI NA ATAYEIBUKA KIDEDEA TUNAMPA PONGEZI. SHIME SHIME KILA ALIYEJIANDIKISHA KUPIGA KURA ASITUPE NAFASI HII YA KUCHAGUA VIONGOZI ANAOWAPENDA BILA KUJALI DINI AMA KABILA LA MGOMBEA.MUNGU IBARIKI TANZANIA


WALA CHAMA
ReplyDeletehttp://www.uchaguzi.or.tz/main
ReplyDeletesite nzuri wanaopenda kufuatia hapa
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
ReplyDeleteNasikitika sana! ulimwengu mzima wala kama hauna habari.Hakuna international media iliyo jaribu angalau hata kutoa habari.Juzi tu wakati watani wetu wa jadi-Kenya walipokuwa na uchaguzi basi world media karibu zote zilikuwa zinanguruma.Pengine ni kwa vile wanajua kuwa kwetu hatuna fujo au....?
ReplyDeleteBILA KUJALI CHAMA, ILA UADILIFU.
ReplyDeleteWALA SURA
ReplyDeleteNA KWELI ANNON 31 DEC 10.49 HAKUNA AKINA CNN WALA WALE... WOTE KIMYA. KWA UPANDE MWENGINE, INTERNATIONLAL MEDIA NI BIASHARA NA KAMA HAWAPIGI HODI KWAKO INAAMANA HAKUNA BIASHARA, NA BIASHARA NI NEGATIVE NEWS, WAKENYA MBALI KUPANDA CHATI BAADA YA USHINDI WA YA OBAMA WANAJULIKANA PIA KWA KUTOKUWA NA HALI YA UTULIV U KISIASA, KWA HIYO KAMA WASEMAVYO WALENGA WA ULAYA NO NEWS!!! GOOD NEWS!!!!!!
ReplyDeleteWE SWAGG WITH "HARMONY" "HUMILITY" AND "PEACE" MATOKEO NI MUHIMU, LAKINI NIKIWA KAMA MTANZANIA NIISHIE NJE HONGERA ZANGU ZINAENDA KWA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA KWA PITIZA ZOEZI HILI LA KIDEMOKRASIA , KWA HERI NA AMANI
MUNGU IBARIKI TANZANIA,
Bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi - ni uchaguzi 'fake'.
ReplyDeleteWewe unayesema huoni habari za uchaguzi sijui unaangalia news gani. Nipo USA na nimeangalia CNN news na wala sio CNN international just the local one na nimeona wameonyesha kama walivyooonyesha kwenye election ya wa Kenya...Be fair..I have seen it...Good luck my country ...
ReplyDeleteI am happy nimeweza kuwashawishi ndugu zangu wakajiandikisha na wameenda kupiga kura leo...mama yangu 64 yrs old amepiga kura hii ni mara ya pili maishani kwake. Sisters & brother in laws, Brother and sister in laws age ranges from 52, 50, 44 & 42, brother 40, sister in law 33 nephews and nieces 18 to 25 wote hao hawajawahi kupiga kura maishani mwao...Hii ni mara ya kwanza
Tunahitaji elimu sana ya kuwaelewa watu umuhimu wa kupiga kura. Sasa hawa ni ndugu zangu na kasoro mama yangu wote wengine wana education kuanzia high school to masters lakini hawaoni umuhimu wa kupiga kura. Je wasio na elimu na wasio na ndugu wa kuwaelimisha maana ya kupiga kura ni nini watapata motisha vipi wya kupiga kura?
I am just happy pole pole ndio mwendo natumaini tutafika...